Kwa hiyo hata nyie(wewe+mume wako) hamlali kwenu. Sasa kwa nini wewe usilale kwa wazazi, au hutaki kumuacha hubby wako aende hoteli peke yake?
Mila zenu/za mume hazuruhusu yeye kulala ukweni? Nyie mnalionaje hilo la ku-spend holiday kwa wakwe?
Mimi hata mila zetu sizijui ila huu ndio wakat pekee wa mimi Na yeye kuwa pamoja peke yetu watoto wanabaki Na bibi Na babu huko tukiamua tunaenda beach kabisa. Hivyo ndivyo tulivyozoea hata kwa wakwe zangu huwa hatulali tukifika tunasalimia mama mkwe tunakula hapo tunamwachia wajukuu sisi tunaenda kwa nyumbani yetu ambapo haiko mbali sana Na ya mama mkwe.