Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Kimsingi hata ke ukipooza sisi wanaume pia huishiwa mvuto, huenda umepooza pia, lakini ukiwa mjanja waweza kumtengeneza mmro na akawa na mvuto kila wakati.
Ukimkuta mwanamke au mwanaume aliyekamilika huyo sio wako ni wa yule aliyemtengeneza na siku zote ataishi sawa na yule aliyemtengeneza. Tengeneza chako kikufae
KingY
 
I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
Unauza sh ngapi?
 
Yaani hapa kuwa romantic nafikiri vinazungumziwa vitu mbali mbali

Kumbeba beba ukiwa unampeleka bafuni

Hug za nguvu unapopata nafasi

Maneno matamu ikiwepo sifa sifa kibao

Vizawadi zawadi vya hapa na pale, outing mbili tatu katika mwezi

Love languages muhimu sana

Nb; Tanzania ya viwanda
 
Back
Top Bottom