Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

#Nenda kwa watu wa Kanda ya ziwa,wakiwemo wajita wanapenda Sana kuliamsha dude trust me hutojuta....
 
Okay, first and foremost, umeshajiuliza hao wanaolia lia humu ni wanaume au wavulana. Kama haujafahamu, most of these cry baby ni vijana wadogo sana wa level ya advance secondary au aidha wapo chuo wakisoma cheti, diploma au wachache degree. Most of them hata hawajaanza maisha ya kujitegemea na kuwa na majukumu rasmi. So acha kupoteza energy yako kuamini unajua kinachoendelea.

Pili nikujulishe kitu tu kuwa kuwa romantic ni jambo la ku'volunteer kwa mwanaume na ili aendelee basi ni lazima mwanamke amtengenezee mazingira kuwa hivyo na usitegemee awe hivyo by himself.

Ni ngumu sana ukute mwanaume anatafuta pesa na apate muda wa kudeal na drama zako. Anaweza kukufanyia small practices za mahaba kama kukuletea zawadui, kukutoa out, kukupa mchezo mzuri kitandani lakini most of the times ni ngumu kufanya hivyo as iwe muda wote huwa ni ngumu sana....akili inayowaza kutafuta pesa huwa haitapata mida kuwaza mapenzi na ndio maana wanayoyaweza ni hawa mabwana wadogo wasiokuwa na serious business kwenye uchumi.

Kiufupi usiassume kuwa wavulana ni necessary wanaume.......

By the way for serious talk u know my dm..... We can learn more from one another.....
Salute!
 
Haya..
Malengo yangu yanatimia hata bila msaada wake, hapa ni kwangu siwezi kuondoka kwa sasa, nilijiwekea malengo ya kutotafuta nyumba nyingine ya kupanga hadi nihamie kwangu niliojenga.

Usijali very soon he ll be free, namtafutia njia nzuri ya kumuepa.
 
Ngoja kwanza tuanzie hapo kwenye "kweri Kweri" yako, it's "kweli kweli" i hope utakuwa unatoka mikoa fulani ilee!! The issue of chagga guys kuwa unromantic isn't something surprising hata mimi nilishapata kadhia hiyo kwa ex-partner wangu. I hope baadhi ya watu sampuli yenu mnakuwa mnakosa wisdom per logic of resoaning behind this matter. Nisingependa kuongelea issue za vyumbani and so forth ila mjue kuwa kila binadamu anapitia malezi tofauti ambayo atayaishi mpaka utu uzima wake na kujifunza atakayopitia katika msururu mzima wa maisha yake kama changamoto kwake hadi umauti. Sasa kama umemkuta kijana wa watu hayuko sawa kwenye kitengo fulani inabidi uwe na msaada kwake kurekebisha hilo na kwake kwako katika vitengo vingine vivyo hivyo. i.e kama kwenye utafutaji uliosifia kutoka upande wake.

I only observe people complain and leave people behind opt to find perfections on the other person which put them later into dilemma, kwahiyo ili usiwe unaruka ruka na wanaume wa kila aina mpaka kuonekana una chachu ya "umalaya/umapepe" n.k by public perceptions na kuacha doa baya in your destiny, it's best mpeane na mwenza wako changamoto za kuelezana ukweli juu ya kero mnazopitia binafsi na kusonga mbele as a blessed couple, na kama hamsikilizani au hamuendani then hayo ni matatizo mengine tena. But it shows kuwa una mchukulia jamaa poa thinking 2 yrs is just a joke to now try to left him eti kisa ni unromantic plus bed issues and small petty things. Je! angekuwa ame cheat/kusaliti as being a major problem kwenye mahusiano ya karne ya leo?? ungekuwa na mtazamo gani kwake au kwa wanaume in general!!. Tena shukuru Mangi kuwa unromantic and he doesn't engaged with more female partners as he have you if it is the truth. SO SPEAK TO YOUR MAN, LADY!

NB; YOU MIGHT LEAVE FOR A FULL MOON WHILE CHASING SHOOTING STAR'S. PLUS IT'S OBVIOUS CHAGGA'S ARE HANDSOME & MANKA'S ARE EXQUISITELY BEAUTIFUL.
Ushauri wa hivi mngekuwa mnautoa na kwa yale mafurushi wenzenu wanaoharishaga utumbo wao humu tungekuwa mbali sana. Tatizo mkuki kwa nguruwe, mnakumbukaga busara likiwa linawagusa ila ikiwa ni kuhusu wanawake kauli ni "achana nae huyooo, wanawake ni wengi sana"
 
Back
Top Bottom