Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Mliachana au ndo uliyenaye sasa hivi?
Ndo mimi nikamwambia kaka nakupenda sana ila kama unanipenda kweli ungenivumilia niache kucheza mziki taratibu kwa sababu na mimi najua nakubore sema ndo siwezi kuacha ghafla tuu.
Akiniona nacheza mziki anachanganyikiwa kabisa.
 
Wanaume ndo mko na ujinga mwingi sana
Hii tabia ya kurushiana maneno ilianza zamani sana, kila mtu anaona mwenzake ndio kakosea, Sir God kamuuliza Adam, jamaa kamtupia mpira Hawa, Hawa nae kaona isiwe tabu, nyoka ndio katupiwa furushi lote.

Nadhani kwa mtu anayejielewa hawezi tu kulaumu kila kitu kwa mwenzake, we live to complement each other. Ukijua hakuna kiumbe perfect, hutapoteza mda wako kulaumu kila saa. Kwanza hakuna binadamu asiye na ujinga...
 
Kubembelezana muhimu, tujishusheni maisha yawe matamu. Tukitaka wote tuwe juu maisha ya mahusiano yatakuwa magumu, at the end wote tunapoteza.
Ex darling umesahau wewe ndio ulisema mwanaume hajishushi? We jinunishe ukitegemea kubembelezwa, maisha mafupi haya kwanini utake kuyafanya yawe magumu kwa mwenzio asiyafurahie? Mwaga mboga namwaga ugali na jiko nafungulia gas itoke yote.
 
Hii tabia ya kurushiana maneno ilianza zamani sana, kila mtu anaona mwenzake ndio kakosea, Sir God kamuuliza Adam, jamaa kamtupia mpira Hawa, Hawa nae kaona isiwe tabu, nyoka ndio katupiwa furushi lote.

Nadhani kwa mtu anayejielewa hawezi tu kulaumu kila kitu kwa mwenzake, we live to complement each other. Ukijua hakuna kiumbe perfect, hutapoteza mda wako kulaumu kila saa. Kwanza hakuna binadamu asiye na ujinga...
Mimi ni nani hata nibishe hapa? Wanaume wengi wangekuwa wanakubali kwamba maovu yapo kwa jinsia zote basi kusingekuwa na mabishano bali maelewano ila ndo kutwa utasikia "wanawake ni wakatili sana hatujui waliongea nini na shetani" utafikiri wanaume ni watakatifu sasa.
 
Back
Top Bottom