Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
NAMFIKISHIA MWENYEKITI WA WACHAGA MKOA....ATOE TAADHARI
 


Nimecheka kwa nguvu umenifanya hadi na mimi niende kugoogle imeniletea chick upande ndo nimezidi kucheka haki ya nani umeniua mbavu
Huwa inanipa majibu ya uongo wakati mwingine.
Mfano side chick wanasema ni vifaranga vya pembeni
 
Okay, first and foremost, umeshajiuliza hao wanaolia lia humu ni wanaume au wavulana. Kama haujafahamu, most of these cry baby ni vijana wadogo sana wa level ya advance secondary au aidha wapo chuo wakisoma cheti, diploma au wachache degree. Most of them hata hawajaanza maisha ya kujitegemea na kuwa na majukumu rasmi. So acha kupoteza energy yako kuamini unajua kinachoendelea.

Pili nikujulishe kitu tu kuwa kuwa romantic ni jambo la ku'volunteer kwa mwanaume na ili aendelee basi ni lazima mwanamke amtengenezee mazingira kuwa hivyo na usitegemee awe hivyo by himself.

Ni ngumu sana ukute mwanaume anatafuta pesa na apate muda wa kudeal na drama zako. Anaweza kukufanyia small practices za mahaba kama kukuletea zawadui, kukutoa out, kukupa mchezo mzuri kitandani lakini most of the times ni ngumu kufanya hivyo as iwe muda wote huwa ni ngumu sana....akili inayowaza kutafuta pesa huwa haitapata mida kuwaza mapenzi na ndio maana wanayoyaweza ni hawa mabwana wadogo wasiokuwa na serious business kwenye uchumi.

Kiufupi usiassume kuwa wavulana ni necessary wanaume.......

By the way for serious talk u know my dm..... We can learn more from one another.....
Salute
 
Yoooh. Na huyu mfupi pia.
Nikienda nae sehemu hata mguu sitakiwi kutingisha anaona wivu.
Sasa kisa cha kuachana eti nilicheza mziki nikawa nakata viuno watu wananishangaa.
Alimind kufaaaa. Anasema siwezi kuwa na mwanamke anacheza mziki watu wanamshangaa. Nikamwambia poa ila mi kucheza starehe yangu.
. Wanajishtukia sana hawa watu
Basi Tunatofautiana, Mi Wa Aina Yako Ndio Ugonjwa Wangu
 
Back
Top Bottom