Bora! Ha haaaHaya yaishe aiseeeee!
Kuna hadithi nataka nimsimulieAlikuwa hapa hapa anatetea watu wa machame, marangu, old moshi, kibosho and the list goes on. Kuna nini kwani????
Ooohhh ok kila la kheriKuna hadithi nataka nimsimulie
Siwezi sema hadharani katoto nimekuwa ninasiriVictim on superstition other impairments?
That's you nowBibi yangu aliwahi kuniambia kamwe nisije nikampiga mwanamke, nitalaanika. Naheshimu hill na halitotkea kamwe, nikishindwana na wewe nasepa tu
😀😀😀😀😀That's you now
Was supposed to be the other way around.
Constructive criticism! Ain't sure that's right though...
Tungejadili hoja na tungefikia hitimisho for both ladies and gentlemen
Nilidhani ni mimi peke yangu ndo nimegundua hili kumbe tupo wengi maana siyo kwa ustaarabu na upole huu aliounyesha siku ya leoBwana shemeji leo umekunywa maji ya wapi uko na busara namna hii?
Hebu ongezea mengine naja kulipia.
And you can't agree less!😀😀😀😀😀I agree with you
HahahaahahahahahNilidhani ni mimi peke yangu ndo nimegundua hili kumbe tupo wengi maana siyo kwa ustaarabu na upole huu aliounyesha siku ya leo
Kuwa busy kama yeye unaelekea wewe ni mama wa nyumbani, mda mwingi unaangalia bongo movie, kushinda na dela, kwenda saloon, ukiona vipi tafuta wakongo man wapo kibao kinondoni pale kereti lubumbashi bar, asubuhi mpaka jioni wamechomekea wanaimba bolingo tu
Hizo mambo za ku have fun nenda pwani, Mwanaume wa Kaskazini hana huo mda. Nyambaafu demu mwenyewe utakuta mweusi kama nywele za makw*** inabidi ufurahie hata huyo mchaga amekubali ku mingle na Weak specie kama wewe(weak minded person) kama wewe.Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.