Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,837
- 183,043
Sasa baba yetu Adam ndio muasisi sisi tunaachaje? Tuendelee tu kulaumiana, kila binadamu ana ujinga ila wenu umezidi.Hii tabia ya kurushiana maneno ilianza zamani sana, kila mtu anaona mwenzake ndio kakosea, Sir God kamuuliza Adam, jamaa kamtupia mpira Hawa, Hawa nae kaona isiwe tabu, nyoka ndio katupiwa furushi lote.
Nadhani kwa mtu anayejielewa hawezi tu kulaumu kila kitu kwa mwenzake, we live to complement each other. Ukijua hakuna kiumbe perfect, hutapoteza mda wako kulaumu kila saa. Kwanza hakuna binadamu asiye na ujinga...