Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
AsanteEti umesema mwanume akiwa anatafuta pesa kupeti peti ni nini?
Je hii inaaply kwa wanawake watafutaji pia au?
AsanteEti umesema mwanume akiwa anatafuta pesa kupeti peti ni nini?
Je hii inaaply kwa wanawake watafutaji pia au?
Kwa hiyo unakubaliana na Uvelia ??Wamejaa maringo tu ila kwenye sebene they are nothing kiukweli



hapo sasa wao wakimwaga ugali sisi tunamwaga mboga na maji ya kunawa kabisa halafu tunalala njaa
We tunafanana vitu vingi, kama mbwai na iwe mbwai tu hakuna kubembelezana wala nini.
kizazi chetu sio chako pekeyakoHeheheheiyaa labda kama hiyo mimba utabeba wewe ila kama kizazi ni changu, kabhi nahi.![]()
Ndo mimi nikamwambia kaka nakupenda sana ila kama unanipenda kweli ungenivumilia niache kucheza mziki taratibu kwa sababu na mimi najua nakubore sema ndo siwezi kuacha ghafla tuu.Mimi kuna mmoja alitaka tuachane eti kisa napenda kutembea halafu mbaya zaidi nilikuwa nikimwambia twende tukatembee anakubali tunapuyanga weee kumbe mwenzangu alikuwa hapendi
Siku ya siku akaja kunifungukia eti "wewe mwanamke unapenda sana kuzurura" nikamwambia sasa nisipozurura sasa hivi unataka nizurure nikiwa kwenye ndoa majukumu yamenibana au?
Wakati huo yeye mwenyewe alikuwa anapenda mpira humwambii kitu yaani ni bora akatishe mazungumzo yetu ili akaangalie mpira hata mechi za timu ndogo ndogo tu hizi ambazo hazina mashabiki alikuwa anataka akaangalie na mimi wala nilikuwa sikasiriki
Ila alivyokuja kuniambia eti niache kutembea la sivyo tutaachana kiroho safi tu nikakubali tuachane na siyo kwamba nilikuwa siwezi kuacha kutembea ila nilishaona tu kuwa hana mapenzi na mimi kutokana na sababu zake za kijinga nikajiengua mapema
hebu ondoeni hii ujinga basi,hapo sasa wao wakimwaga ugali sisi tunamwaga mboga na maji ya kunawa kabisa halafu tunalala njaa
Pole aiseeee.Asante mpenzi maana wameishia kunitusi tu.
Hahahah yani mziki tu, na Subwoofer nakununulia ile nzuri ucheze nyumbani tuNdo mimi nikamwambia kaka nakupenda sana ila kama unanipenda kweli ungenivumilia niache kucheza mziki taratibu kwa sababu na mimi najua nakubore sema ndo siwezi kuacha ghafla tuu.
Akiniona nacheza mziki anachanganyikiwa kabisa.
Hahahah mie nimeshusha mikono chini, huyu mtoa mada moto wake ni hatari kama mafuta ya ndege
Wacha nikimbize mbawa zangu nimfate mtani wangu wa jadi Marianah
Bora umenisaidia kuulizaUmeshatia mimba ngapi hadi sasa?
Kubembelezana muhimu, tujishusheni maisha yawe matamu. Tukitaka wote tuwe juu maisha ya mahusiano yatakuwa magumu, at the end wote tunapoteza.
We tunafanana vitu vingi, kama mbwai na iwe mbwai tu hakuna kubembelezana wala nini.
Hii mbegu itakuwa ya kaskazini tu![]()
This is you now!Alright then.!!
Si umenichekeshaUnanicheka?
😄😄😄😄😄😄😄Amen......
Mungu akushushie gunia la chawa upate kujiwasha. Tuseme inshaallah