Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,220
Eti umesema mwanume akiwa anatafuta pesa kupeti peti ni nini?Okay, first and foremost, umeshajiuliza hao wanaolia lia humu ni wanaume au wavulana. Kama haujafahamu, most of these cry baby ni vijana wadogo sana wa level ya advance secondary au aidha wapo chuo wakisoma cheti, diploma au wachache degree. Most of them hata hawajaanza maisha ya kujitegemea na kuwa na majukumu rasmi. So acha kupoteza energy yako kuamini unajua kinachoendelea.
Pili nikujulishe kitu tu kuwa kuwa romantic ni jambo la ku'volunteer kwa mwanaume na ili aendelee basi ni lazima mwanamke amtengenezee mazingira kuwa hivyo na usitegemee awe hivyo by himself.
Ni ngumu sana ukute mwanaume anatafuta pesa na apate muda wa kudeal na drama zako. Anaweza kukufanyia small practices za mahaba kama kukuletea zawadui, kukutoa out, kukupa mchezo mzuri kitandani lakini most of the times ni ngumu kufanya hivyo as iwe muda wote huwa ni ngumu sana....akili inayowaza kutafuta pesa huwa haitapata mida kuwaza mapenzi na ndio maana wanayoyaweza ni hawa mabwana wadogo wasiokuwa na serious business kwenye uchumi.
Kiufupi usiassume kuwa wavulana ni necessary wanaume.......
By the way for serious talk u know my dm..... We can learn more from one another.....![]()
Je hii inaaply kwa wanawake watafutaji pia au?


