Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Well uliquote kwa akina manka kama yo base of arguement. Kuonja muhimu ili kujua kama yaliyomo yamo, kuliko ukija kusikia mambo ya kileleni unaanza kutoa macho kumbe ni mambo ya kawaida tu.
Wachangamsheni kaka zenu bwana sio mnahamia Kenya.
Alright then.!!
 
Unajua ili useme chakula hiki ni kibaya ni lazima umeshawahi kula chakula kitamu. Hauwezi kusema chakula ni kibaya huku haujui kitamu kipoje.
Hauwezi kusema mwanaume huyu amepooza, au hajui mapenzi kama haujawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa ukaona utofauti.

Wanaoweza ni kwa sababu wanaume wao hao hao ndiyo waliowafundisha mapenzi yaani wameanza nao na wanaendelea nao. Huwa hawaonji nje ili kufananisha kama ladha ni tofauti au lah ndiyo maana tunaweza.

Wasio weza ni wale ambao wameshaonja ladha mbali mbali. Ni sawa na mtu anasema mtu ana kibamia, hawezi kusema hivyo kama hajawahi kukutana na kubwa. Lakini tungekuwa tunatulia kwenye mahusiano haya mambo ya kufananisha fananisha na kugundua kasoro za mwenzako yasingekuwepo.
Ni-PM namba yako nkutumie hela ya lunch
 
Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all

Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Unashimo wewe ndio maana hana time na wewe..
 
Ungekuwa pesa angekuchangamkia, nani fala achangamkie mashine ya kula pesa, sepa unasubiri nn, aisee watu wengine ni waajabu.

Back
Top Bottom