Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Huo us..nge sijui wakuwa fun na makorokoro kibao kawatafuteni machoko wa pwani huko n.k

Sisi tupige tako mbili tatu wazungu hawa hapa..tunaendelea na mbishe nyingine,ukitaka kaliwe nje huko chiu si wako
😂😂😂😂
 
Hahahaaaa wanawake ndio kidogo nawafahamu. Ila labda kwavile ni wafupi, Si unajua wanaume wafupi wana inferiority complex hivyo gubu lazima.
Yoooh. Na huyu mfupi pia.
Nikienda nae sehemu hata mguu sitakiwi kutingisha anaona wivu.
Sasa kisa cha kuachana eti nilicheza mziki nikawa nakata viuno watu wananishangaa.
Alimind kufaaaa. Anasema siwezi kuwa na mwanamke anacheza mziki watu wanamshangaa. Nikamwambia poa ila mi kucheza starehe yangu.
. Wanajishtukia sana hawa watu
 
Mimi kuna mmoja alitaka tuachane eti kisa napenda kutembea halafu mbaya zaidi nilikuwa nikimwambia twende tukatembee anakubali tunapuyanga weee kumbe mwenzangu alikuwa hapendi

Siku ya siku akaja kunifungukia eti "wewe mwanamke unapenda sana kuzurura" nikamwambia sasa nisipozurura sasa hivi unataka nizurure nikiwa kwenye ndoa majukumu yamenibana au?

Wakati huo yeye mwenyewe alikuwa anapenda mpira humwambii kitu yaani ni bora akatishe mazungumzo yetu ili akaangalie mpira hata mechi za timu ndogo ndogo tu hizi ambazo hazina mashabiki alikuwa anataka akaangalie na mimi wala nilikuwa sikasiriki

Ila alivyokuja kuniambia eti niache kutembea la sivyo tutaachana kiroho safi tu nikakubali tuachane na siyo kwamba nilikuwa siwezi kuacha kutembea ila nilishaona tu kuwa hana mapenzi na mimi kutokana na sababu zake za kijinga nikajiengua mapema

Back
Top Bottom