Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

My sis unachopitia ni ukweli,Mimi nilipiga goti nikaomba Mungu sitaki tena mchaga maana ilikuwa ni serial dating ya chagas ilikuwa inatokea tu
Wakaka wazuri kwelikweli aisee hatarii lakini mambo mengine kidogo wanapwaya
Labda huyu mchaga mmoja wa old moshi alikaa nje kwa muda huyu alikuwa na uzungu uzungu wa kuletewa maua,visuprise,outings,kubebewa handbag etc lakini bado alikuwa na uchaga
Mchaga ni mchaga ila nawasifu wanajali familia zao
Asante mpenzi maana wameishia kunitusi tu.
 
Ungetuma picha yako tukuone basi, inawezekana umechuja.ila trust me,humu ndani utapata wateja
Kwavile wewe ulichuja ukawapata unafikiri kila mtu muuzaji kama wewe!
 
ww mwenyewe inaelekea kitandani una lalaga kama gogo yy ana poteza hisia, ila nahisi unataka ale 0714 lakini mchaga hawezi kula ni watu wa dini sana. Ushauri achana nae ukaolewe na Piere liquid au Dudu baya au baba dimond (dudu la yuyu)
Kwavile 0713 yako imeliwa unafikiri wote wanaharamu kama wewe?
 
Ndio unataka kusema akina manka hamuonji onji?
Kaka zako wamethibitisha kuwa ndivyo walivyo, hawafundishiki. Na wameniambia kabisa pa kwenda kupata waliochangamka.
Sijasema wakina manka hawaonji nilichosema ni kwamba "wanaoweza" ni ambao wanatulia kwenye mahusiano hawajaonja huku na huko kujua ladha tofauti.
Wasioweza ni ambao wameshaonja huku na huko na wanajua kila ladha hivyo kazi yao ni kulinganisha ladha.

And yes...., hauwezi kusema Fulani hajui mapenzi kama hauna experience unayoizungumzia kama mfano.
 
Yes wachaga wanajal family sana,bora kuolewa na mtu hayuko romantic ila majukumu yake kama baba na kichwa cha family anayajua na anayabeba vema
Mwache huyo ukadate wanaotaka kutunzwa wao na watoto mtakao zaa ndipo utajuta
Ndoa sio kuhave fun na kuwa romantic all the time,it's more than that
Kweli umekata tamaa dada, pole sana.
 
Lakini ukimwi wanao wa kutosha, endelea tu kuwajaribu mwingine na mwingine mpaka wanoge uanze kupiga gitaa
 
Najivunia kuwa mchaga. Si rahisi kumpata mwenye vyote, mtafute marriage counselor anaweza kuwapa mwongozo. Growing up with Chaga parents or relatives walitilia mkazo kutafuta pesa and financial education. 'Sex education' remains a taboo and is hardly discussed. As a Chaga man, I am still struggling with that mentality. Make wise and informed decisions. Hayo ndo maoni yangu.
Nafikiri wewe ndio mwanaume wa kichaga pekee mwenye akili so far humu ndani.
 
Ukishaona demu umemuoa sio bikra changamoto kama hizi hazikwepeki. Unagegeda kumbe mtu anawaza mb.o ya Mzee toboa ilikuwa kubwa zaidi hii ni ndogo. Mzee toboa alikuwa ananitekenya huku na huku huyu hafanyi.
Upumbavu tuu mkuu na bila aibu mwanamke analia mtandaoni mume wake hajui mapenzi. Maadili zero.
We mwenye maadili hebu soma ulichoandika na bikra yako.
 
Mweh mi najali hisia Kwanza, Kama mtu hanisisimui sijisumbui kuwa nae, tusije tafutiana lawama bure
Hao wa hivyo washajikatia tamaa, hawajijali tena yaani wameharibiwa hadi wanaona bora tu aijali familia inatosha. Sasa sijui yeye sio sehemu ya hiyo familia?
 
kunakipindi huku wanajifunza ujinga na mtu akiwa kichwa maji amepotea
 
Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all

Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
I smell the sense of ukahaba here
 
Back
Top Bottom