Tatizo anajichanganya sana huyu mwanamama, hajui analosimamia ni lipi maana katika maisha ya sasa you choose between the 2:
-Pesa
-Mapenzi
Kila moja linakuja na package yake, ila ukijua unataka nini ndio itakusaidia kuwa basis ya selection au choice yako.
Pesa ikiwa nyingi asilimia kubwa ya vidume uaminifu huwa 1% na muda na madoido mapenzi (sex and romance) 9% hizo asilimia 90% zinazobakia ni kusaka dough,maendeleo na starehe binafsi.
Mapenzi yalipo basi ujue muda, care, uaminifu na madoido ya mapenzi (sex and romance) ni 90% ila asilimia iliobaki itakuwa pesa ni 10%. Hapo mapenzi utayapata ya hela yote mahaba ya kihindi ndio usiseme na kupigwa mkuyenge wa uhakika ila kwenye pesa ndio itabidi zitumike zako zaidi hasa kwenye strategic plans (kujenga, kusomesha, biashara) maana yeye mchango wake kiuchumi unakuwa ni mdogo sana.
Sasa huyu binti anaejinadi ana hela sioni ugumu wa kujitaftia wanaume wa kundi linalomfaa. Sielewi anakwama wapi maana wazee wa kazi wapo wengi sana sikuhizi msingi kiuno. Wanawake wanaojiweza kiuchumi wanajichukulia nakala zao tu mjini wanapata wanachokihitaji katika mahusiano wanatulia zao kimya.