Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Habari wadau wa MMU.

Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.

Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.

Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤

Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Yanini mnawafatafata sasa?

Kama sio your cup of tea then take a hike!

Bounce,unawajazia space!
 
I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.

Si umesema unajua kutafuta wewe au?

sasa si uachane nae nyumba yako utamalizia mwenyewe?

inaonyesha mama ulikuwepom kwa ajili ya mkwanja na hapo ndo shida inaanzia

kwa ufupi inabidi tu ni-CONCLUDE kwamba wewe ni MALAYA muuza papuchi

Nisamehe kwa conclusion yangu.
 
Ila jamani wanajua sana kujali familia zao, kwa Hilo nawapongeza. Mimi ni mchaga lkn haijawahi tokea nikadate mchaga mwenzangu
Kwa story za huyu mwenzangu sio kweli kihivyo, ila huwa anawasifia sana wanawake wa kichaga.
 
Tafuta msambaa au makonde hao ndio wamechangamka kila saa wanawaza ngono sio pesa kama Wachagga
Habari wadau wa MMU.

Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.

Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.

Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all

Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
 
Mchagga akishapata pesa atachukua mwanamke yoyote kwa jeuri yake ila wewe kama unataka uzungu katafute wazungu kwanini ulalamike huku umeng'ang'ana hapo hapo?
Jitahidi kwenda nae baa na rafiki zake..kula kupiga story kuangalia mpira
Na kama anajenga kwenda site na mwisho wa mwaka kwenda Moshi
Huko utaenjoy

Mana hawajuagi kupeleka mtu dates wala nini
Sana sana baa kwny pombe baaas
Inshort hawana mambo ya kizungu
 
Habari wadau wa MMU.

Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.

Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.

Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤

Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
yaani hajachanga mka kivipi? ukute jamaa ni gentlemen na nice guy wanawake huwa hawawapendi wanaume wa namna hii...njia ya nzuri ya kuwa na mwanamke act, be rough, *** her good, give her money she will be your slave
 
Back
Top Bottom