Wanaume wa Dar buana...!

Wanaume wa Dar buana...!

Umenikumbusha mbali hakii.
Kichwa chako kina memory card sijui ya GB ngapi.

Hiyo yakwako ni yakitoto aisee. Halafu nzuri ukilinganisha na hili li bezi langu la kichaga.

Haki alinichekeshaga yule mwehu, apumzike kwa amani.

Aaah wapi weweee mtoto nyororo hivyo!
 

Haki alinichekeshaga yule mwehu, apumzike kwa amani.

Aaah wapi weweee mtoto nyororo hivyo!
Siyo kwa viroja vile, alikuwa anapenda sifa sana.

Hadi nimemiss jamani. Angekuwepo angeshatoa mpya tena.

May his soul continue to rest in peace!!
 
Mkuu, why are you so bitter? Mimi najivunia sana kuwa mwanamke na sijawahi kujichukia na hayo unayosema usukumani wanafanya asilimia 80 ya wanawake hii Tanzania wanaishi kwenye hayo maisha ni vile tu hatujuani.

Eti na wako proud, hivi wako proud au ni vile tu hawana namna maana waume zao ndio hayo maafurushi
 
Back
Top Bottom