Wanaume wa kiafrika ni madikteta
Si haya yanayosema wanawake hatupendani.


.Waliumbwa sijui vipi.
Wanaume wa kiafrika ni madikteta
Si haya yanayosema wanawake hatupendani.


.Wacha bwanaWewe mimi ningeanza tabia mbaya mapema nikiwa form 4 si ningekuzaa kabisa nikiwa kwenye chumba cha mtihani?
Uwiiiiii uainichapeeee



Na wakinunua vizaga zaga kwenye mfuko abebe mamaTena unakuta na mkoba kabeba, baba na walet yake mfukoni hata hajigusi![]()


hayo manyonyo ukiyabusiti na zile sindilia zenu unakua umemaliza kazi.....sema we hujui tu hizi pumb* kwenye daladala zinavyouma ni noma.... kuachia seat inakua kazi sanaaaaaaa...Hizo p.umbu ni nzito kuliko manyonyo?
Tukifika mbinguni tumuulize Mungu kama Hawa alikuwa mwafrika? Maana adhabu yetu nzito kidogo.Wanaume wa kiafrika ni madikteta.
Waliumbwa sijui vipi.
Mzungu wa nne mama, na kila mtu shuka lake.
Na marufuku kunisogelea.
Hii adhabu imejitosheleza.![]()
Kwa hili natengua kauli.Nahii baridi ya huku kaskazin
Yewooomi!!!Na wakinunua vizaga zaga kwenye mfuko abebe mama![]()
Wewe mrembo nakukubali sana, achana na hayo mambo njoo uchukue IST usipate haya masimango huko.Habari ya weekend wakuu,
Leo bwana kwenye daladala ya huku kwetu gomz kimetokea kisa kimoja.
Aliingia kwenye daladala mama mwenye mtoto na siti ya mbele kabisa karibu na mlangoni alikaa m'baba kwa kumuangalia anaweza kuwa yupo mid/late 40s.
Kando yake alisimama mwanaume mwingine wa makamo yaleyale, basi yule aliyekaa akasimama kumpisha yule mama akae.
Aliposimama akaanza kumwaga povu (kumbe alikuwa ameambiwa na yule aliyesimama kuwa amsaidie mtoto ).
Wacha ateme povu eti ooh wanawake hampendani, mwenzenu anaingia mnashindwa kumpisha kwa sababu gani? Mwenzie akawa anamtuliza, walikuwa hawajamuona si unaona gari imejaa?
Ye kakomaa hamna walikuwa wamemuona wanawake wana roho mbaya sana, yaani hawapendani kabisa.
Kusema kweli yule mama aliyeingia na mtoto mimi sikumuona maana nilikuwa nimejilalia zangu usingizi, na hata ningemuona nisingempisha bali ningempokea mtoto.
Ila yule baba mimi kanishangaza sana, ni kwa nini anadhani sisi wanawake ndio tunatakiwa kupisha?
Kwanza yeye alikuwa jirani kabisa pale kwa hiyo badala ya yeye kupisha alitaka atokee mwanamke aliyekaa nyumba ndio apishe?
Niwaulize ninyi wanaume, hivi akiingia mama mwenye mtoto au mjamzito anayetakiwa kuwa wa kwanza kunyanyuka kwenye siti ni ninyi au sisi?
Yaani sisi tunabeba mimba miezi tisa, tunalea hadi watoto wanafikia umri wa kujitegemea eti inapotokea tupo huru yaani hatuna mimba wala mtoto wa kunyonyesha bado tuna wajibu wa kuwapisha wenzetu walio katika hali hizo?
Kweli leo nimejua kuwa ni shughuli pevu kuzaliwa mwanamke Afrika, nadhani wanawake wa Afrika tuna mbingu yetu spesho maana sio kwa kazi hii tuliyonayo.
Nilitaka nimtolee uvivu yule mwanaume ila nikaamua nikae kimya maana nilikuwa na my uncle mmoja naheshimiana nae na anajua mimi siongeagi kabisanikaamua kuilinda image yangu
Hebu tuoneeni huruma
NB: Hapa nazungumza na wale ambao huwa wanapisha sio wale makauzu
Ngoja nifikirie na wewe ningekuzaa liniWacha bwana![]()


.

Bora umejitetea mapema nisikuchape maana nilishatafuta fimbo hapa




.Kwa kweli.Tukifika mbinguni tumuulize Mungu kama Hawa alikuwa mwafrika? Maana adhabu yetu nzito kidogo.




ilibidi awe mfilipino jamani.Ngoja nifikirie na wewe ningekuzaa lini.
Nimekumbuka, lilivyomaliza la saba![]()






Itabidi nikutafute nidhibitishe hili kama kweli una miaka 70+Fanya kinyume chake. Mimi ndio ningekuzaa