Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Akhsante umeongea nilichotaka kuongea ila nikawa natafuta namna nzuri ya kuwekayaani ni umama wa hali ya juu









Mwanaume kuganda kwenye siti Ni umama...tabia za kimama














Akhsante umeongea nilichotaka kuongea ila nikawa natafuta namna nzuri ya kuwekayaani ni umama wa hali ya juu























Wewe huwa unapisha? Tuanzie hapa.
Inakuwa imejaa ila sipishiHv dada shemej kama hauishi mwisho wa route ya daladala do you expect daladala itafika na free seat?? Kwa hapa town?? Anyway labda kwa mchana

nimetoka kushika chaki nimejichokea. Haki sipishi.Tena wewe wa gongomboto hahah gar zote huwa zimejaa muda wote unless iwe mwisho wa rootNi ngumu sana kwa kweli
Hiyo mood ya siku ndiyo ikufanye usipishe wajawazito Shem?Inategemea tuu na mood ya siku husika. Na sitniliyokaa shem.
Wewe sikuwezi dahInakuwa imejaa ila sipishinimetoka kushika chaki nimejichokea. Haki sipishi.
Ukiwa kariakoo mida ya kuanzia saa kumi na nusu inabidi uende karume/ machinga complex upande gari ya mnazi mmoja/gerezani ukageuke nalo ndio utakaa. Sasa imagine mtu kageuka na gari ndio akuachie siti huhuhu...Tena wewe wa gongomboto hahah gar zote huwa zimejaa muda wote unless iwe mwisho wa root
Hiyo mood ya siku ndiyo ikufanye usipishe wajawazito Shem?
Tatizo wewe haujui tuu watu tunavyochoka. Ukikaa kwenye siti ni kusinzia tuu.Wewe sikuwezi dah
Acha kunichekesha, kuna siku huwa unaingilia dirishani Shem?Sshem kuna siku na siku. Kunasiku kusimama its okay. Kuna siku kusimamama hapana ukizingatia nimeingilia dirishan
Teh mie naangalia na uvaaji. Kuna kama amevaa bila kujistiri tumbo simpishiUkiwa kariakoo mida ya kuanzia saa kumi na nusu inabidi uende karume/ machinga complex upande gari ya mnazi mmoja/gerezani ukageuke nalo ndio utakaa. Sasa imagine mtu kageuka na gari ndio akuachie siti huhuhu...
HahaTatizo wewe haujui tuu watu tunavyochoka. Ukikaa kwenye siti ni kusinzia tuu.
Acha kunichekesha, kuna siku huwa unaingilia dirishani Shem?
Jiheshimu dogo nifute uzi uliniambia wewe niandike?Sasa kama wewe mwanamke unaejua ugumu mateso ya kushika mimba na mateso ya kuwa na mtoto mchanga umekaa kimya kikauzu Mwanamke mwenzako anateseka ili hali unajua mateso yake,je Mimi Mwanaume nitapata wapi huo uchungu?????
Hivi mwanamke akishikwa tumbo la bleeding kazini,kati ya mwanaume na mwanamke nani Ni rahisi kumsaidia?Maana kumsaidia mtu Ni lazima angalau ujue hali gani anapitia otherwise utaona drama tu na hutakuwa na uchungu.
Futa uzi wako wa lawama na katu hilo sio jambo la kulalamikia watu kijinsia. Utaonekana wa ajabu tu
Njoo nipe maelezoTeehhhh...
I did long long.... Maelezo inabid nkupe pm

