Wanaume wa Dar buana...!

Wanaume wa Dar buana...!

Yaani hii post umezunguka weee hafu hapo hapo umejitetea weeeee afu umekuja kuomba ushauri hahaha basi mana mi naona umejiuliza na kujijibu
 
Kwani wewe umeisoma wapi..??
Nimeisoma kwako ila wewe ni nani haswa na kwa mamlaka gani uliyopewa hadi useme hivyo? Nipe andiko kutoka kwenye vitabu ya dini linaloonyesha kuwa mwanamume aliumbwa na mwanamke alitengenezwa
 
Nimeisoma kwako ila wewe ni nani haswa na kwa mamlaka gani uliyopewa hadi useme hivyo? Nipe andiko kutoka kwenye vitabu ya dini linaloonyesha kuwa mwanamume aliumbwa na mwanamke alitengenezwa
Dini ndiyo mdudu gani...?
 
yani hii post umezunguka weee hafu hapo hapo umejitetea weeeee afu umekuja kuomba ushauri hahaha basi mana mi naona umejiuliza na kujijibu
Nimeomba ushauri gani King na wewe?
 
Habari ya weekend wakuu,

Leo bwana kwenye daladala ya huku kwetu gomz kimetokea kisa kimoja.

Aliingia kwenye daladala mama mwenye mtoto na siti ya mbele kabisa karibu na mlangoni alikaa m'baba kwa kumuangalia anaweza kuwa yupo mid/late 40s.
Huwa nawapisha sana siyo wanawake tu hata wanaume walionizidi umri ila tu kama sijachoka na sina hela nyingi mfukoni, mbali na hapo sina sababu ya msingi kumpisha yeyote yule kwenye kiti.
 
Kuna watu wanachukuaga watoto ambao sio wao ili kupishwa! Ila wanaume wa dar wanapenda starehe, hata kwenye kugombania siti wanaingilia hadi madirishani sasa huwa nacheka tu yani kusikama kwa nusu saa au pungufu mtu anasukumana na kina mama.
 
Mimba tuwape na siti tuwapishe mbona kazi mara mbili tuoneeni huruma? Uliza dume nyuki kama alipiga mimba aliwahi kuona mwanae, usione hao nyuki huwa ni yatima hawana baba mzazi ndio maana ni wakali balaaa. Wamefiwa
 
Back
Top Bottom