Wanaume wa Dar buana...!

Wanaume wa Dar buana...!

Ni kweli wanawake mna roho mbaya sana hasa nyie kwa nyie hata aibu hamna kabisa

Anakuja mwanamke mwenzenu anamimba hata kiti hampishi mnamtizama kama picha hadi atokee mwanaume amuonee huruma ampishe

Mwanamke ni kiumbe katiri sana
Hili jina lako sijui kwanini kila nikiliona nalisoma ndivyo sivyo[emoji134]
 
Wanaume wengi wa kiafrika hawana huruma na wanawake,
Unaweza kuta mama kabeba mtoto na anaongozana na mumewe lakini kumsaidia ni shida.
Tena unakuta na mkoba kabeba, baba na walet yake mfukoni hata hajigusi[emoji134]
 
Nahii baridi ya huku kaskazin
Cute b huwa unamfanyaje baba p?
Siyo kwa kujihami huku. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mzungu wa nne mama, na kila mtu shuka lake.
Na marufuku kunisogelea.
Hii adhabu imejitosheleza.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom