Wanaume wa Dar buana...!

Wanaume wa Dar buana...!

Yaani yule mjamzito nilimkata jicho kidogo tu nimtukane matusi ya siri nikajivunga maana nikaona huyu mimba inamwambia iba...iba...ibaa tu.
Saivi ubaya ubaya tu labda kwa vikongwe tu ndio nawapisha.
Noma sana mkuu alafu huwaga wanahisi ni jukumu lako kumpisha kwenye siti akee...!! japo kweli wenye mimba huwa wanakuwa hoi sana mkuu Yani balaaa
 
Yaani yule mjamzito nilimkata jicho kidogo tu nimtukane matusi ya siri nikajivunga maana nikaona huyu mimba inamwambia iba...iba...ibaa tu.
Saivi ubaya ubaya tu labda kwa vikongwe tu ndio nawapisha.
Ubaya hawasemagi Ahsante yani utadhani ni wajibu wako...!!
 
Habari ya weekend wakuu...
Leo bwana kwenye daladala ya huku kwetu gomz kimetokea kisa kimoja. Aliingia kwenye daladala mama mwenye mtoto na siti ya mbele kabisa karibu na mlangoni alikaa m'baba kwa kumuangalia anaweza kuwa yupo mid/late 40s. Kando yake alisimama mwanaume mwingine wa makamo yaleyale, basi yule aliyekaa akasimama kumpisha yule mama akae. Aliposimama akaanza kumwaga povu (kumbe alikuwa ameambiwa na yule aliyesimama kuwa amsaidie mtoto ).... Wacha ateme povu eti ooh wanawake hampendani, mwenzenu anaingia mnashindwa kumpisha kwa sababu gani? Mwenzie akawa anamtuliza, walikuwa hawajamuona si unaona gari imejaa? Ye kakomaa hamna walikuwa wamemuona wanawake wana roho mbaya sana, yaani hawapendani kabisa.
Kusema kweli yule mama aliyeingia na mtoto mimi sikumuona maana nilikuwa nimejilalia zangu usingizi, na hata ningemuona nisingempisha bali ningempokea mtoto.
Ila yule baba mimi kanishangaza sana, ni kwa nini anadhani sisi wanawake ndio tunatakiwa kupisha? Kwanza yeye alikuwa jirani kabisa pale kwa hiyo badala ya yeye kupisha alitaka atokee mwanamke aliyekaa nyumba ndio apishe?
Niwaulize ninyi wanaume, hivi akiingia mama mwenye mtoto au mjamzito anayetakiwa kuwa wa kwanza kunyanyuka kwenye siti ni ninyi au sisi? Yaani sisi tunabeba mimba miezi tisa, tunalea hadi watoto wanafikia umri wa kujitegemea eti inapotokea tupo huru yaani hatuna mimba wala mtoto wa kunyonyesha bado tuna wajibu wa kuwapisha wenzetu walio katika hali hizo???! Kweli leo nimejua kuwa ni shughuli pevu kuzaliwa mwanamke Afrika, nadhani wanawake wa Afrika tuna mbingu yetu spesho maana sio kwa kazi hii tuliyonayo. Nilitaka nimtolee uvivu yule mwanaume ila nikaamua nikae kimya maana nilikuwa na my uncle mmoja naheshimiana nae na anajua mimi siongeagi kabisa nikaamua kuilinda image yangu
Hebu tuoneeni huruma

NB: Hapa nazungumza na wale ambao huwa wanapisha sio wale makauzu
Njoo nikuwowe uache kupanda daladala
 
Kumbe upo gomz ,nipo hapa Mombasa karibu
 
Mimi huwa napisha saana tuu, ila hata asante sijawahi isikia! Lakini sababu najali yule aloko tumboni huwa wala sijali mimi!

Kama wamo humu mkipishwa muwe mnasema asante basi!!

Kuna siku nilimpisha baba mmoja akanilipia nauli na chenji akaniachia!
 
Daladala imejaa, unapanda huku ukijua una nguvu na uwezo wa kusimama. Kwanini nikupishe?
Mimi huwa napisha wazee tuu. Basi kwa huruma tuu.
Wewe labda hujawai kaa gongo la mboto au mbagala au labda unakaa mkoani hujui changamoto ya usafiri ilo gari unalosubiri halijajaa utalipatia wap? We sema hupendi usumbufu lakini iyo ya kusema eti"Daladala imejaa, unapanda huku ukijua una nguvu na uwezo wa kusimama. Kwanini nikupishe?" you are trying to defend your selfishness.
 
kwanza mi na desturi moja, sikupishi kwenye siti hata uwe babu kizee.hivi kama huku mkoani mtu anaona gari limejaa nyuma kuna gari nyingine tupu kwanini ulazimishe kupanda gari lililo jah,kufa na tabu zako.
 
Haha sawa mkuu. Mimi sijakataa kupisha tena mimi ni mpishaji mzuri tu mradi niwe fiti. Lakini unaweza kuniambia ni kwa nini yule mwenzenu alikomaa kwa sisi ndio tulitakiwa kupisha ilhali yeye ndio alikuwa karibu na huyo mama anayehitaji msaada?
Generally ipo hivyo.

Wanawake hampendani na kwenye daladala ni nadra sana kuona mwanamke amempisha mwenzake. Huwa sielewi kwanini ipo hivyo.

Ila wanaume wanawathamini sana wanawake wenye complications na wanafanya kiroho safi tu.

Na sio mwanamke mjamzito tu, ni ngumu mwanamke kumpisha either mlemavu au mtu mzima sana.

Wanawake mna roho mbaya sana.
 
Wanawake tunapitia mengi mkuu, unaweza kuniona sina mimba wala mtoto ukajua niko huru kumbe tumbo la period limenikamata sawasawa au naumwa kiuno, wengine huwa wanaanza kuumwa hata wiki moja kabla ya kupaa angani. Mkuu we acha tu, siku ambazo mwanamke anainjoi maisha yake hapa duniani ni chache mno.
Sio kweli.

Unavyo sound kama unajutia kuwa mwanamke au unataka kuonekana unafanya jambo very exceptional sana na halijawahi fanyika.

Kuingia period au kubeba ujauzito ni jukumu lako, kwanini uone ni mateso?

Ungekuwa unaishi huko usukumani au kijijini si ungejinyonga kabisa?

Mwanamke mjamzito ila anatembea 10km kufuata kuni au kuchota maji. Na halalamiki wala kujutia. She feels proud. Ila nyie wanawake .com kitu kidogo mnadeka kama mnaonewa.

Mwanamke ana enjoy maisha sana kuliko hata mwanaume. Majukumu ya mwanaume yapo 24/7 mpaka anaingia kaburini. Period ya siku 4 inakufanya ujione upo jehanamu?
 
Generally ipo hivyo.

Wanawake hampendani na kwenye daladala ni nadra sana kuona mwanamke amempisha mwenzake. Huwa sielewi kwanini ipo hivyo.

Ila wanaume wanawathamini sana wanawake wenye complications na wanafanya kiroho safi tu.

Na sio mwanamke mjamzito tu, ni ngumu mwanamke kumpisha either mlemavu au mtu mzima sana.

Wanawake mna roho mbaya sana.
Akiwemo mama yako si ndio?
 
Vipi kama sijawahi kupitia hiyo hali?
Inawezekana hujaipitia lkn kwa asili ya uumbaji na pia kwa elimu eidha ya darasani au kokote kula utakuwa UNAJUA huyo mama YUKO ktk hali gani! Lkn ki ukweli akina mama mna roho NGUMU! C rahis kumuona mwanamke anampisha mtu kwenye cti akae! Cc wanaume kidogo TUNAJITAHIDI kuwapisha waja wazito, wenye watoto wakupakata, wagonjwa wazee nk! Lkn c akina mama! Ktk nafasi hii roho zenu c nzuri na ikizingatia mnaujua UCHUNGU hasa wa mimba na kuzaa! Pamoja na ulezi!
 
Sio kweli.

Unavyo sound kama unajutia kuwa mwanamke au unataka kuonekana unafanya jambo very exceptional sana na halijawahi fanyika.

Kuingia period au kubeba ujauzito ni jukumu lako, kwanini uone ni mateso?

Ungekuwa unaishi huko usukumani au kijijini si ungejinyonga kabisa?

Mwanamke mjamzito ila anatembea 10km kufuata kuni au kuchota maji. Na halalamiki wala kujutia. She feels proud. Ila nyie wanawake .com kitu kidogo mnadeka kama mnaonewa.

Mwanamke ana enjoy maisha sana kuliko hata mwanaume. Majukumu ya mwanaume yapo 24/7 mpaka anaingia kaburini. Period ya siku 4 inakufanya ujione upo jehanamu?
Mkuu, why are you so bitter? Mimi najivunia sana kuwa mwanamke na sijawahi kujichukia na hayo unayosema usukumani wanafanya asilimia 80 ya wanawake hii Tanzania wanaishi kwenye hayo maisha ni vile tu hatujuani. Nikiwa naumwa tumbo la bleed siwezi kumpisha kwenye siti aisee la sivyo humo kwenye gari yatakuwa mengine
 
Inawezekana hujaipitia lkn kwa asili ya uumbaji na pia kwa elimu eidha ya darasani au kokote kula utakuwa UNAJUA huyo mama YUKO ktk hali gani! Lkn ki ukweli akina mama mna roho NGUMU! C rahis kumuona mwanamke anampisha mtu kwenye cti akae! Cc wanaume kidogo TUNAJITAHIDI kuwapisha waja wazito, wenye watoto wakupakata, wagonjwa wazee nk! Lkn c akina mama! Ktk nafasi hii roho zenu c nzuri na ikizingatia mnaujua UCHUNGU hasa wa mimba na kuzaa! Pamoja na ulezi!
Kama elimu ya darasani inaweza kukufanya ukaelewa na kufeel anachopitia mtu mwingine hata kama wewe hujawahi kupitia kwa nini wewe usiweze kuvaa viatu vyake? Kwani huko darasani ninyi hamuendi?
 
Back
Top Bottom