Wanaume wa Dar buana...!

Wanaume wa Dar buana...!

Zamani nilikuwa nawahurumia sana wanawake mie lkn nilicho kinnoti yaani hawana huruma kabisa wao kwa wao , kingine hata ukimpisha hawezi hata kukushukuru kana kwamba ilikuwa wajibu wako kumpisha

Kingine hasa hawa wenye watoto wanambwembwe sana kabla ya kufika stendi mtoto yuko mgongoni akitaka kuingia kwenye gari anamshusha anambeba mikononi ndiyo anakuwa anahangaika tu na mtoto kumbe ni mbwembwe ili ahurumiwe apewe siti

Mie thubutu nikikaa nampisha mgonjwa na mzee tu tena anayepanda kw bahati mbaya

Siyo gari ipo kituoni anaona imejaa kabisa harafu anapanda daah atasimama tu haina kulemba
 
Back
Top Bottom