Wanaume wa Dar buana...!

Wanaume wa Dar buana...!

Siyo kwa viroja vile, alikuwa anapenda sifa sana.

Hadi nimemiss jamani. Angekuwepo angeshatoa mpya tena.[emoji23][emoji23][emoji23]

May his soul continue to rest in peace!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti na wako proud, hivi wako proud au ni vile tu hawana namna maana waume zao ndio hayo maafurushi[emoji134][emoji134]
Haha eti mtu yuko proud kubeba mziko wa kuni, jembe na mbele ana mimba ya miezi nane...he must be kidding
 
Haha eti mtu yuko proud kubeba mziko wa kuni, jembe na mbele ana mimba ya miezi nane...he must be kidding
Kweli mwenza mbinguni kunatuhusu, hayo mateso alafu uchomwe moto tena kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Siyo kwa viroja vile, alikuwa anapenda sifa sana.

Hadi nimemiss jamani. Angekuwepo angeshatoa mpya tena.[emoji23][emoji23][emoji23]

May his soul continue to rest in peace!!
Nani?
 
Kaka mmoja hivi alikuwa crush wa Atoto.[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nitafute comment yako kwenye Uzi mwingine nikutajie, ukilike tuu nafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo crush kweli...yaani huwezi kumtaja hapa
 
Back
Top Bottom