Sijui mleta mada alipo, ila hii inategemea na eneo analoishi kila mtu.
Kama wewe hauoni baridi, inawezekana kwa wenyeji ndio msimu wa baridi.
Hata wewe ulipo unaona baridi, akija mtu aliyetoka nje au sehemu yenye baridi kuliko wewe, na yeye anakuona hivyohivyo kama unavyowaona watu wa Dar