Na wanatetemeka?Muwaonee huruma.Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto.
Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
100%Kwa wakazi wa dar walizoea joto la mpaka 30 - 32°C, kipindi hiki kwao ni baridi. Nafikiri ni issue za mwili unavyoendana na mazingira na siyo issue ya uanaume
SafiKwa tulipishi sehemu za baridi, hapa hamna baridi.
Ila kwa waliokulia hapa kwao hili ni baridi kali wanahisi kuganda.