Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Kwa ubahili huo mleta mada, watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji tu, usione vyaelea vimeundwa,toa hela gharamia kakaa[emoji3] [emoji3]
 
Kwenye maandiko matakatifu..... Kwani mnaruhusiwa kuwazini wasio wake zenu?.......
nilivyoelewa mimi ni kuwa hata mke aziniwi ila anafanyiwa tendo la ndoa ikishakuwa zinaa ina maana ni kwa mwanaume na mwanamke ambaye hawana ndoa,cjui umenipata?
 
nilivyoelewa mimi ni kuwa hata mke aziniwi ila anafanyiwa tendo la ndoa ikishakuwa zinaa ina maana ni kwa mwanaume na mwanamke ambaye hawana ndoa,cjui umenipata?
Eeeeh kumuingilia mwanamke asiyekuwa mke wako Ile ni zinaa tendo ni hilo hilo tu kwa wanandoa na wasio na ndoa
 
Back
Top Bottom