Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

I need your answer first cause if I wanted to say what I think then I could have just said it and I couldn't have asked you that question

Me nko na mama la mama namuhudumia vzr tu na pesa haombi hvyo anaomba kwa discpline. Nachepuka kwa akil lkn
 
Hahahahaha hahaha seriously
Hivi mtu unakimbiaje asili yako hio nature yetu hatukuumbiwa mwanamke mmoja ndo maana mpo wengi kuliko sisi

Tutapunguza tu michepuko

Tutazidi kuwapenda kuliko michepuko mkiacha kuomba ela

NAAM
 
Wasio na pesa na wanataka kuwa na wanawake wa kiwango cha esiarajii utawajua tu! Babu wee huna pesa endelea kutuita shemeji tu

Tusipewe pesa hiyo veepeee!,,,, yaani nioge ning'ae nipendeze harafu wewe uje unibinue bure bure tu????
Ss pesa nitoe mm nguvu itumike yangu, Lodge nilipe mm bia na vitu vingine nigharamie...alafu anaepata 100% ni ww wangu bado haingii akilini...[emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mademu wa hvyo wengi wanakuaga wabovu

Daah we jamaa bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanywe kreti moja ya bia kwa mangi ntakuja kulipa.....

Sisi tunatakiwa kupewa pesa hivi hamjiulizi kwanini mkija kutuoa mnatoa pesa? Toeni pesa vijana mtoe hizo dollari
Wahindi upande wa mwanamke ndo unatoa mahari hii sababu yako haina mashiko

Sio lazima sisi tutoe
 
Maisha haya bwana kuna wakati kama vile unaona hayana formula,,
2016 niliwekwa lockup kituo kidogo cha polisi,,kunademu sikuwa hata na mpango nae na wala hakua kwenye akili yangu,cha ajabu sasa akaja kunizamini na akalipa nusu ya pesa iliyotakiwa nilipe pale kituoni,,
Wanawake ndo wanujua kupenda kuliko sisi wanaume,
Wanajua kupenda lkn wana tamaa sana,, alafu wanasahau haraka..
 
Hahahahaha hahaha seriously
Hivi mtu unakimbiaje asili yako hio nature yetu hatukuumbiwa mwanamke mmoja ndo maana mpo wengi kuliko sisi

Tutapunguza tu michepuko

Tutazidi kuwapenda kuliko michepuko mkiacha kuomba ela
Wewe ni muumini wa dini gani?
 
Me nko na mama la mama namuhudumia vzr tu na pesa haombi hvyo anaomba kwa discpline. Nachepuka kwa akil lkn
Wanawake tunapoamua kuwekeza utii wetu kwenu wanaume tunahitaji na ninyi muwekeze mapenzi yenu kwetu na mapenzi hayo ni pamoja na kutujali kutokutusaliti sasa haiwezekani wewe usinijali au unanisaliti halafu unataka mimi niwe mtakatifu? Maisha hayaendi hivyo wanaume wengi mnataka mpate wanawake malaika halafu ninyi muwe mashetani ndo mnaona raha
 
Kama uanaume ni pesa basi hata baba ako sio mwanaume kamili kwa sababu alitakiwa akupe pesa yeye na kukuandalia mazingira mazuri ili usiwe mtu wa kubinuliwa binuliwa hovyo ili upewe pesa.

Ukija kwangu unakuja kama mpenzi tu. Pesa ninakuwa nazo kwa ajili ya mipango ya maendeleo sio kwa ajili ya kununua uchi wako.

Umemtukana baba ako bila kujua.
Baba alishafanya sehemu yake kanifikisha hapa nilipo, ndo inatakiwa huyu nilienae nae anichukue twende wote huko tuendako, harafu hapa LIKUD kila mtu anaweza kusema na ila kiukwel muonekano wangu uchumi wangu wanaume wa kusimama na mimi hapa ni wachache sana

Sehemu ambayo naishi hapa Dar ww huna hata ndoto ya kufika, gari ninayoendeshe ww hata kupewa lift tu haitatokea mpaka unakufa, ila sio ajabu unanitukana hapa
 
Back
Top Bottom