Sima jacson
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 135
- 66
Utalambaje na hakuna cha kulamba?Na ukilambwa??
Utalambaje na hakuna cha kulamba?Na ukilambwa??
Utalambaje na hakuna cha kulamba?
Mimi nataka tuwe sawa..Tumeumbwa sawa? Sasa mbona hamtaki tuwe sawa?
Hahaaa, kuna zilizofutwa tuu? Duuh
muda ni mchache sanaaaaaaaaMambo ni mengi mkuu
Kwakweli muda hautoshiMambo ni mengi mkuu
AsubutuuuuMimi nataka tuwe sawa..
Au na wewe huamini mwanaume na mwanamke ni sawa??Asubutuuuu
Hatuko sawa kwenye kila kituAu na wewe huamini mwanaume na mwanamke ni sawa??
punguza hasiraWasio na pesa na wanataka kuwa na wanawake wa kiwango cha esiarajii utawajua tu! Babu wee huna pesa endelea kutuita shemeji tu
Tusipewe pesa hiyo veepeee!,,,, yaani nioge ning'ae nipendeze harafu wewe uje unibinue bure bure tu????
Tangu lini umepewa jukumu la kutupangia matumizi ya vijisenti vyetu ?Wanaume mpo?!!! Huu uzi kwa ajil yetu sisi. Zama zmebadilika sasa. Ni marufuku kumpa pesa mwanamke ambaye huna malengo naye hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena kwa kiwango cha lami ni bora hzo pesa ukatoe sadaka kanisan.
Mwanamke ambaye huna malengo naye ale pesa yako kabla hajakupa papuchi ila akishakupa funga waletti tia na kufuli kabisa. Wanawake hawana zaid cha kutupa sisi zaid ya papuchi tu.
Sasa wewe endlea kung'ang'ania mtu ambaye huna malengo naye utajutaa.
Nafikir mumeelewaa!! Wikend njema.
upo sahihi, haiwekani u invest kwa mwanamke wa kupita nae usiye name future nae wala malengo huo ujinga ndio ambao siufanyagi. invest na ambae leo huna atakuelewa mtavumiliana anajua kesho ipo huku mkiyaishi yale malengo yenu
Kweli mkuu
Tangu lini umepewa jukumu la kutupangia matumizi ya vijisenti vyetu ?
Aibu sana, kabisaaa unapata mbunye, unaililia weeee! mara unavaaa mkaputura wako unaenda zako, duuuu!
sasa umemwaga oil sakafuni hutaki kuosha, chumba kitapendeza kweli?
Ushauri wa bure kama huna hela jieleze, ili ukopweshwe mdaiwa hafungwi
Umemalizaupo sahihi, haiwekani u invest kwa mwanamke wa kupita nae usiye name future nae wala malengo huo ujinga ndio ambao siufanyagi. invest na ambae leo huna atakuelewa mtavumiliana anajua kesho ipo huku mkiyaishi yale malengo yenu
Aibu sana, kabisaaa unapata mbunye, unaililia weeee! mara unavaaa mkaputura wako unaenda zako, duuuu!
sasa umemwaga oil sakafuni hutaki kuosha, chumba kitapendeza kweli?
Ushauri wa bure kama huna hela jieleze, ili ukopweshwe mdaiwa hafungwi