Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

we jamaa unatufundisha tusitoe pesa tena? mambo gani hayo. wengine kuingea hatuwezi,ni kutumia pesa tuu. lugha ya pesa rahisi sana. haiumizi kichwa
 
Wasio na pesa na wanataka kuwa na wanawake wa kiwango cha esiarajii utawajua tu! Babu wee huna pesa endelea kutuita shemeji tu

Tusipewe pesa hiyo veepeee!,,,, yaani nioge ning'ae nipendeze harafu wewe uje unibinue bure bure tu????
Kumbe unajiuza [emoji849][emoji849]
 
Mkuu papuchi siku hizi zimekuwa bei rahisi sana, kwanini usitoe ili nao wapate za sabuni na unyunyu....

Usipo toa hela utaishia kula papuchi zilizo futwa tu, zile zilizo oshwa utazisikia

Hii coment bila picha hainog mkuu
 
Baba alishafanya sehemu yake kanifikisha hapa nilipo, ndo inatakiwa huyu nilienae nae anichukue twende wote huko tuendako, harafu hapa LIKUD kila mtu anaweza kusema na ila kiukwel muonekano wangu uchumi wangu wanaume wa kusimama na mimi hapa ni wachache sana

Sehemu ambayo naishi hapa Dar ww huna hata ndoto ya kufika, gari ninayoendeshe ww hata kupewa lift tu haitatokea mpaka unakufa, ila sio ajabu unanitukana hapa
Hahahah yebaba
Comment hii iwafikie marioo wote jf waanzisha vimada uchwala starting with mwanzisha uzi
Shubakengeeee hahahah
 
Dada ww huchepuki?? Be honest
Sasa mbona unatoka nje ya mada? Mimi sichepuki na hata hivyo swala hapa siyo kuchepuka swala ni kwamba hakuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi lakini tunatenda dhambi kwa sababu binadamu wote ni wadhaifu na hata Mungu anaelewa hilo ndo maana anatusamehe sasa inakuwaje wanaume mkitenda dhambi mnaona ni sawa ila wanawake tukitenda dhambi mnatuona mashetani?
 
Kwasababu nyie ndo mliongea na nyoka (shetan) face to face hatujui mliambiwa nn
 
Nakula watoto wazuri sana mpaka huwa najishangaa na hela siwapi [emoji23]
Ndo ujue kuwa kuna wanaume wenzio unashea nao na wanagharamikia ndo maana umeambiwa usipotoa wewe basi wengine watatoa
 
Kwasababu nyie ndo mliongea na nyoka (shetan) face to face hatujui mliambiwa nn
Hebu say something meaningful basi, sasa hayo unayojibu kwa akili yako unaona uko sawa kabisa?
 
Wanaume mpo?!!! Huu uzi kwa ajil yetu sisi. Zama zmebadilika sasa. Ni marufuku kumpa pesa mwanamke ambaye huna malengo naye hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena kwa kiwango cha lami ni bora hzo pesa ukatoe sadaka kanisan.

Mwanamke ambaye huna malengo naye ale pesa yako kabla hajakupa papuchi ila akishakupa funga waletti tia na kufuli kabisa. Wanawake hawana zaid cha kutupa sisi zaid ya papuchi tu.

Sasa wewe endlea kung'ang'ania mtu ambaye huna malengo naye utajutaa.

Nafikir mumeelewaa!! Wikend njema.
Mkono mtupu haulambwi
 
Back
Top Bottom