Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Baba alishafanya sehemu yake kanifikisha hapa nilipo, ndo inatakiwa huyu nilienae nae anichukue twende wote huko tuendako, harafu hapa LIKUD kila mtu anaweza kusema na ila kiukwel muonekano wangu uchumi wangu wanaume wa kusimama na mimi hapa ni wachache sana

Sehemu ambayo naishi hapa Dar ww huna hata ndoto ya kufika, gari ninayoendeshe ww hata kupewa lift tu haitatokea mpaka unakufa, ila sio ajabu unanitukana hapa
Hakuna kitu kama hicho. U got a prostitute attitude. I am not apologetic about telling you this.

U have dis appointed me. Ur talking about being given money for being fvcked?

Ptuuuuuuuu!!!!
 
Wasio na pesa na wanataka kuwa na wanawake wa kiwango cha esiarajii utawajua tu! Babu wee huna pesa endelea kutuita shemeji tu

Tusipewe pesa hiyo veepeee!,,,, yaani nioge ning'ae nipendeze harafu wewe uje unibinue bure bure tu????
Ivi kumbe na ww hua unauzaa?
 
Nauza tena sana kahaba namba moja dunia nzima hata shetani huwa ananipigia simu nipunguze, enzi hizo nipo na Mama yako ndo mwalimu wangu ilikuwa balaaa
Pole Sana aisee naona povu limekutoka vya kutosha aisee, me nilikua nauliza tu maana comment yako ipo kuuza uza tu, haya niambie Bei gani nije nikununue mwanfunzi wa mama angu
 
Kwenda zako, ata mbwa wangu halishwi na pesa za ukahaba! Eti pesa ulizonazo mpuuzi kweli wewe wenye pesa huwa hatusemi wala kuonga kushamba kama unajinadi.

Ila ata km unazo so what...? Zinakusaidia wewe mimi pesa si mhimu km unavyoweza kudhani kwenye hiyo kichwa yako finyu.
Tunavyokutana humu JF wengi hatujuani kiundani, huenda ukanichukulia simple labda kutokana na uandishi wangu hivyo ni rahisi tu kunizoea ila nina uhakika tukikutana live huwezi hata kunisemesha, pesa tu niliyonayo mimi nalisha ukoo wenu mzima
 
Siamini ktk dini
Tena nyie msiokuwa na dini ndo nawatafutaga sana nyie sasa wewe unajuaje kama wanaume hamkuumbiwa mwanamke mmoja wakati uumbaji unaonyesha Mungu aliumba Adam na Evah tu

Kama angetaka muwe na wanawake wengi kwanini asingemuongezea Adam mke mwingine? Kumbuka Adam alilazwa usingizi akatolewa ubavu wake na huo ubavu ulitumika kumuumba mwanamke mmoja tu Evah na siyo zaidi

Kuhusu kuwa wengi hiyo siyo sababu kumbuka hapa duniani siyo kila mtu alikuja kutimiziwa mahitaji yake kama Mungu angetaka kila mtu atimiziwe mahitaji yake basi angemfanya kila mtu tajiri maana hakuna anayependa kuwa masikini

Vivyo hivyo inawezekana hakuna asiyependa kuoa au kuolewa lakini mbona wapo wanaokufa wazee na hawajaoa au hawajaolewa? Ili dunia ibalance lazima kuwe na watu waliopata na waliokosa wewe oa mwanamke mmoja baki naye huyo huyo hao wengine waliokosa waume hawakuhusu kama nia yenu ingekuwa ni kuwasaidia basi mngewasaidia na watu wote wasio na mali
 
Hahahhah! Mwanaume wa uhakika unawazaje pesa ambazo strategically huwa zinakuja tu. Kawazoee mariwoooh wengine ni tu wanaume tena genuine wa kiafrika pure unshakebleman.
Wamekalili hawa, unakuta anae kutukana hana hata kitanda anaishi kwao yaani hachangii hata kitunguu anakula bure
 
Hakuna kitu kama hicho. U got a prostitute attitude. I am not apologetic about telling you this.

U have dis appointed me. Ur talking about being given money for being fvcked?

Ptuuuuuuuu!!!!
Not for being fvcked but for wasting her time
 
Kwenda zako, ata mbwa wangu halishwi na pesa za ukahaba! Eti pesa ulizonazo mpuuzi kweli wewe wenye pesa huwa hatusemi wala kuonga kushamba kama unajinadi.

Ila ata km unazo so what...? Zinakusaidia wewe mimi pesa si mhimu km unavyoweza kudhani kwenye hiyo kichwa yako finyu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wenye pesa huwa hamsemi sasa mbona hadi hapo umeshasema?
 
Hatusemi kama huyo kinukamkojo anavyojinadi km kada wa chama cha kijani. Amenikera mno huyu squiller
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wenye pesa huwa hamsemi sasa mbona hadi hapo umeshasema?
 
Tunavyokutana humu JF wengi hatujuani kiundani, huenda ukanichukulia simple labda kutokana na uandishi wangu hivyo ni rahisi tu kunizoea ila nina uhakika tukikutana live huwezi hata kunisemesha, pesa tu niliyonayo mimi nalisha ukoo wenu mzima
Hizi huwa ni character za makahaba , kwa kua umeshasema we ni kahaba namba moja dunia nzima sishangai hata pesa ulizonazo unaweza lisha dunia nzima
 
Tena nyie msiokuwa na dini ndo nawatafutaga sana nyie sasa wewe unajuaje kama wanaume hamkuumbiwa mwanamke mmoja wakati uumbaji unaonyesha Mungu aliumba Adam na Evah tu

Kama angetaka muwe na wanawake wengi kwanini asingemuongezea Adam mke mwingine? Kumbuka Adam alilazwa usingizi akatolewa ubavu wake na huo ubavu ulitumika kumuumba mwanamke mmoja tu Evah na siyo zaidi

Kuhusu kuwa wengi hiyo siyo sababu kumbuka hapa duniani siyo kila mtu alikuja kutimiziwa mahitaji yake kama Mungu angetaka kila mtu atimiziwe mahitaji yake basi angemfanya kila mtu tajiri maana hakuna anayependa kuwa masikini

Vivyo hivyo inawezekana hakuna asiyependa kuoa au kuolewa lakini mbona wapo wanaokufa wazee na hawajaoa au hawajaolewa? Ili dunia ibalance lazima kuwe na watu waliopata na waliokosa wewe oa mwanamke mmoja baki naye huyo huyo hao wengine waliokosa waume hawakuhusu kama nia yenu ingekuwa ni kuwasaidia basi mngewasaidia na watu wote wasio na mali
Na wewe unaamini hii fairy tale ya ubavu??
 
Wanawake tunapoamua kuwekeza utii wetu kwenu wanaume tunahitaji na ninyi muwekeze mapenzi yenu kwetu na mapenzi hayo ni pamoja na kutujali kutokutusaliti sasa haiwezekani wewe usinijali au unanisaliti halafu unataka mimi niwe mtakatifu? Maisha hayaendi hivyo wanaume wengi mnataka mpate wanawake malaika halafu ninyi muwe mashetani ndo mnaona raha

Mbna unabase side moja tu, na nyie wanawake hamtulii piaa
 
Back
Top Bottom