Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Wanaume mpo?!!! Huu uzi kwa ajil yetu sisi. Zama zmebadilika sasa. Ni marufuku kumpa pesa mwanamke ambaye huna malengo naye hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena kwa kiwango cha lami ni bora hzo pesa ukatoe sadaka kanisan.

Mwanamke ambaye huna malengo naye ale pesa yako kabla hajakupa papuchi ila akishakupa funga waletti tia na kufuli kabisa. Wanawake hawana zaid cha kutupa sisi zaid ya papuchi tu.

Sasa wewe endlea kung'ang'ania mtu ambaye huna malengo naye utajutaa.

Nafikir mumeelewaa!! Wikend njema.
Sasa kama huji kumuoa unakuwa nae wa nini
 
Nimepitia comments nyingi naona tunatumia lugha ambayo sio rafiki kwa pande zote mbili ikumbukwe watanzania wote ni ndugu..
Na mara nyingi misimamo ya nyuma ya keyboard sio ile utakayoonyesha kwenye field wakati umejaa genye afu mtu anasema hana nauli..
 
Wanaume mpo?!!! Huu uzi kwa ajil yetu sisi. Zama zmebadilika sasa. Ni marufuku kumpa pesa mwanamke ambaye huna malengo naye hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena kwa kiwango cha lami ni bora hzo pesa ukatoe sadaka kanisan.

Mwanamke ambaye huna malengo naye ale pesa yako kabla hajakupa papuchi ila akishakupa funga waletti tia na kufuli kabisa. Wanawake hawana zaid cha kutupa sisi zaid ya papuchi tu.

Sasa wewe endlea kung'ang'ania mtu ambaye huna malengo naye utajutaa.

Nafikir mumeelewaa!! Wikend njema.
Na tukikufatisha wewe nani ataitwa danga
 
Wasio na pesa na wanataka kuwa na wanawake wa kiwango cha esiarajii utawajua tu! Babu wee huna pesa endelea kutuita shemeji tu

Tusipewe pesa hiyo veepeee!,,,, yaani nioge ning'ae nipendeze harafu wewe uje unibinue bure bure tu????
Hujamuelewa .Anasema ukishabinuliwa hakuna haja ya kukupa pesa
 
mi nitaendelea kuwapa tu hela manake sina namna hasa nikishalewa...nikiwa sober huwa sitaki kabisa ila nikishalewa naanza kupekua simu kuwatafuta
 
Back
Top Bottom