Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Wanaume!! Usimpe hela mwanamke ambaye huji kumuoa!!.

Utakuwa umenielewa vibaya, ila namaanisha ukiwa mwanaume inatakiwa uoneshe uanaume wako sio kwenye kitanda tu na nje ya kitanda pia mtuhudumie
Kama uanaume ni pesa basi hata baba ako sio mwanaume kamili kwa sababu alitakiwa akupe pesa yeye na kukuandalia mazingira mazuri ili usiwe mtu wa kubinuliwa binuliwa hovyo ili upewe pesa.

Ukija kwangu unakuja kama mpenzi tu. Pesa ninakuwa nazo kwa ajili ya mipango ya maendeleo sio kwa ajili ya kununua uchi wako.

Umemtukana baba ako bila kujua.
 
Ushauri wako siwezi kuufata nanilichogundua unataka utuzunguke wanaume wenzako ili uwe unawala pekeako. Nakwataarifa yako tumekushtukia
 
Maisha haya bwana kuna wakati kama vile unaona hayana formula,,
2016 niliwekwa lockup kituo kidogo cha polisi,,kunademu sikuwa hata na mpango nae na wala hakua kwenye akili yangu,cha ajabu sasa akaja kunizamini na akalipa nusu ya pesa iliyotakiwa nilipe pale kituoni,,
Wanawake ndo wanujua kupenda kuliko sisi wanaume,
Story yako mbona imekomea kwenye introduction tu? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kabla sijaandika ninayotaka kuandika naomba nikuulize swali kwanza wewe mtoa mada unamaanisha kwamba wanawake wakiacha kuwaomba pesa wanaume ndo mtawaoa na hamtachepuka?
 
Wasio na pesa na wanataka kuwa na wanawake wa kiwango cha esiarajii utawajua tu! Babu wee huna pesa endelea kutuita shemeji tu

Tusipewe pesa hiyo veepeee!,,,, yaani nioge ning'ae nipendeze harafu wewe uje unibinue bure bure tu????
Ukibinuliwa si unapata utam lakini?
 
Tunavyokutana humu JF wengi hatujuani kiundani, huenda ukanichukulia simple labda kutokana na uandishi wangu hivyo ni rahisi tu kunizoea ila nina uhakika tukikutana live huwezi hata kunisemesha, pesa tu niliyonayo mimi nalisha ukoo wenu mzima
Duuuh! Una mkwara mzito bibie 😁😁😁
 
Msiwazini wanawake ambao hamjawaoa na hamtowaoa
 
Mwanamke akikupa Elfu hamsini next time anakuomba laki tatu!
Maisha haya bwana kuna wakati kama vile unaona hayana formula,,
2016 niliwekwa lockup kituo kidogo cha polisi,,kunademu sikuwa hata na mpango nae na wala hakua kwenye akili yangu,cha ajabu sasa akaja kunizamini na akalipa nusu ya pesa iliyotakiwa nilipe pale kituoni,,
Wanawake ndo wanujua kupenda kuliko sisi wanaume,
 
Utaratibu wa kutowapa pesa umeutoa wapi???
Nani sasa atawapa wakati sisi ndio tunaowatafutia.???

Nitawapa daima. Sina cha kupoteza zaidi ya kupata furaha tena maradufu.

Niliwapa....Nawapa...nitawapa...!!!
Kanywe kreti moja ya bia kwa mangi ntakuja kulipa.....

Sisi tunatakiwa kupewa pesa hivi hamjiulizi kwanini mkija kutuoa mnatoa pesa? Toeni pesa vijana mtoe hizo dollari
 
Kabla sijaandika ninayotaka kuandika naomba nikuulize swali kwanza wewe mtoa mada unamaanisha kwamba wanawake wakiacha kuwaomba pesa wanaume ndo mtawaoa na hamtachepuka?
Hahahahaha hahaha seriously
Hivi mtu unakimbiaje asili yako hio nature yetu hatukuumbiwa mwanamke mmoja ndo maana mpo wengi kuliko sisi

Tutapunguza tu michepuko

Tutazidi kuwapenda kuliko michepuko mkiacha kuomba ela
 
Kanywe kreti moja ya bia kwa mangi ntakuja kulipa.....

Sisi tunatakiwa kupewa pesa hivi hamjiulizi kwanini mkija kutuoa mnatoa pesa? Toeni pesa vijana mtoe hizo dollari
Mkuu bia situmii, labda nikanywe uvingiri.
 
Back
Top Bottom