Daughterrr
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 477
- 585
kama una ela za mawazo si ukae singo tuu..wenzio wanahonga sana tuuu..pambana na vujisent vyakoWanaume mpo?!!! Huu uzi kwa ajil yetu sisi. Zama zmebadilika sasa. Ni marufuku kumpa pesa mwanamke ambaye huna malengo naye hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena kwa kiwango cha lami ni bora hzo pesa ukatoe sadaka kanisan.
Mwanamke ambaye huna malengo naye ale pesa yako kabla hajakupa papuchi ila akishakupa funga waletti tia na kufuli kabisa. Wanawake hawana zaid cha kutupa sisi zaid ya papuchi tu.
Sasa wewe endlea kung'ang'ania mtu ambaye huna malengo naye utajutaa.
Nafikir mumeelewaa!! Wikend njema.