Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

nishawahi kuwa na mwanamke mgomvi.Kasheshe ilikuwa kutoa huduma ya ndoa,ilibidi kila siku niwe nambaka nikifanikiwa tu kuchomeka kitu ndio anatulia na kuanza kutoa ushirikiano akikojoa kama mimi bado anaanza ukorofi tene kutaka kuchomoa muhogo
Jini ilo likimbie hahah
 
Habari wakuu,

Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Duuuh, umenikumbusha jimama fulani la Kijaluo jirani yangu zamani kidogo. Jimama hilo korofi, nene, jeusi kisha limepanda hewani na mme wake vilele, miraba minne mithili ya umbo la Idi Amin. Basi ngumi zikianza baina yao, ni full burudani mtaa mzima maana watu wazima hao ilikuwa kawaida kukimbizana mtaani na kupeana kipondo. Aliyepewa kipondo kizuri atatulia kwa muda na kujisahaulisha lkn ipo siku ata revenge hata kama mwenzake yuko usingizini! Ulikuwa mchezo wa kuviziana daima na kulianzisha.
 
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji3]
 
Mimi huo upuuzi hautakaa utokee kwangu , never ever on this godamn earth ! .

Mimi mwanamke akijaribu akijaribu kuniletea lugha za shombo au ubabe na mpasua . Niko radhi kufia jela kuliko uboya .

Huu usenge wa haki sawa ndo umekuja kuharibu jamii yetu , haijulikani yupi mwanaume yupi mwanamke ndani ya familia , ***** nilishawahi kuwa na demu flani akataka kuleta ishu za ******* za kunirushia matusi na kutaka kunipanda kichwani nilimkung'uta vibaya sana na uhusiano wetu ukavunjika .

Goddamn it ! where does these creatures get boldness to fight men ? .
Well, well!
 
Unajuaga dem flani tall ana shape flani si mnene sana.Hata akitembea unajua huyu yuko strong sema mwanamke ni mwanamke.Mzee nilijichanganya nikataka kuoa.Tukaanza kuwekeza.Ngoja nikupe kisa ilivyokuwa.
Tulikua tunaenda sehem kwenye mashamba ya mpunga kwa ajili ya kukodi.Sasa unajua kuna kuaga na daladala zinachukua abiria afu hazimalizi safar zinafaulisha kwa magari mengine mpaka eneo husika.Kabla gari halijaondoka tukauliza bana konda kama hamfiki bora mseme hatutaki kufaulishwa.Konda akakomaa linafika mpaka mwisho.Bwana safari imeanza jamaa akutufaulisha kama kawaida aisee yule mwanamke si akagoma ashuki lakin abiria wote hadi na mimi nimekubali yaishe kumpisha ibilisi.Nikamsihi sana akakubali kosa la konda na dereva walikua wanatukana sana.Kosa kubwa alilofanya konda si akamvuta akamtanulia tishert.Hapo ndipo nilimwona mwanamke nuksi.Na bahati mbaya alimsukuma akadumbukia kwenye mtaro alipopanda KONDA ALISUKUMWA CHINI mana alikua mdhaifu sijui kama alikua amekuta.ki ukweli alipigwa vibaya sana ananyanyuliwa anabwagwa chini kwenye tope kama mara tatu.Dereva akaleta mdomo alikula roba akuna dunian na vichwa vya kutosha.Wigi la mwanamke kule vinywele timtim aibu tupu.Mwanamke kapandisha masimba amsikilizi mtu.Si ndio nijipendekeze na mimi nimtulize beib."Beib acha bhana inatosha"Na mimi nikala roba ya hela yote.Nikasema nadhalilika.watu wamejaa bahati nzuri askari walikua karibu wakamshika.Nilipopata upenyo sikulaza damu.Nikatokomea kusiko julikana.Na safar ya mashamban ikaishia pale mwana mwanamke balaa yule anapiga vibaya.Mahusiano yaliishia palepale mara ya mwisho kukutana nae mwezi wa kwanza amebeba mtoto sijui ni wake ama laa!alivoniona alitabasam na alivo na sura ya upole.niliona tu kama ananikebehi.nikajikataa mbele
 
Haaaaaaa pole sanaaa mkuu
 
Lkn mkuu mpaka demu wako anavutiwa shati/blouse hivi na ewew ulikuwa unaangalia tu,!!?wacha na ewew akupige roba/mtama...yaani kiume ulitakiwa ewew ndio usimame hapo hata Kama demu alianza kuzingua.kwa maelezo yako inaonesha demu aliona yupo mwenyewe so akaamua kupambana na nyie wote... pole
 
Unajuaga dem flani tall ana shape flani si mnene sana.Hata akitembea unajua huyu yuko strong sema mwanamke ni mwanamke.Mzee nilijichanganya nikataka kuoa.Tukaanza kuwekeza.Ngoja nikupe kisa ilivyokuwa.
Tulikua tunaenda sehem kwenye mashamba ya mpunga kwa ajili ya kukodi.Sasa unajua kuna kuaga na daladala zinachukua abiria afu hazimalizi safar zinafaulisha kwa magari mengine mpaka eneo husika.Kabla gari halijaondoka tukauliza bana konda kama hamfiki bora mseme hatutaki kufaulishwa.Konda akakomaa linafika mpaka mwisho.Bwana safari imeanza jamaa akutufaulisha kama kawaida aisee yule mwanamke si akagoma ashuki lakin abiria wote hadi na mimi nimekubali yaishe kumpisha ibilisi.Nikamsihi sana akakubali kosa la konda na dereva walikua wanatukana sana.Kosa kubwa alilofanya konda si akamvuta akamtanulia tishert.Hapo ndipo nilimwona mwanamke nuksi.Na bahati mbaya alimsukuma akadumbukia kwenye mtaro alipopanda KONDA ALISUKUMWA CHINI mana alikua mdhaifu sijui kama alikua amekuta.ki ukweli alipigwa vibaya sana ananyanyuliwa anabwagwa chini kwenye tope kama mara tatu.Dereva akaleta mdomo alikula roba akuna dunian na vichwa vya kutosha.Wigi la mwanamke kule vinywele timtim aibu tupu.Mwanamke kapandisha masimba amsikilizi mtu.Si ndio nijipendekeze na mimi nimtulize beib."Beib acha bhana inatosha"Na mimi nikala roba ya hela yote.Nikasema nadhalilika.watu wamejaa bahati nzuri askari walikua karibu wakamshika.Nilipopata upenyo sikulaza damu.Nikatokomea kusiko julikana.Na safar ya mashamban ikaishia pale mwana mwanamke balaa yule anapiga vibaya.Mahusiano yaliishia palepale mara ya mwisho kukutana nae mwezi wa kwanza amebeba mtoto sijui ni wake ama laa!alivoniona alitabasam na alivo na sura ya upole.niliona tu kama ananikebehi.nikajikataa mbele
Vipi lakini ukimpiga pumbu alikuwa analegea?? Alikua chombo??
 
Duuuh, umenikumbusha jimama fulani la Kijaluo jirani yangu zamani kidogo. Jimama hilo korofi, nene, jeusi kisha limepanda hewani na mme wake vilele, miraba minne mithili ya umbo la Idi Amin. Basi ngumi zikianza baina yao, ni full burudani mtaa mzima maana watu wazima hao ilikuwa kawaida kukimbizana mtaani na kupeana kipondo. Aliyepewa kipondo kizuri atatulia kwa muda na kujisahaulisha lkn ipo siku ata revenge hata kama mwenzake yuko usingizini! Ulikuwa mchezo wa kuviziana daima na kulianzisha.
😂😂😂😂😂
 
Unajuaga dem flani tall ana shape flani si mnene sana.Hata akitembea unajua huyu yuko strong sema mwanamke ni mwanamke.Mzee nilijichanganya nikataka kuoa.Tukaanza kuwekeza.Ngoja nikupe kisa ilivyokuwa.
Tulikua tunaenda sehem kwenye mashamba ya mpunga kwa ajili ya kukodi.Sasa unajua kuna kuaga na daladala zinachukua abiria afu hazimalizi safar zinafaulisha kwa magari mengine mpaka eneo husika.Kabla gari halijaondoka tukauliza bana konda kama hamfiki bora mseme hatutaki kufaulishwa.Konda akakomaa linafika mpaka mwisho.Bwana safari imeanza jamaa akutufaulisha kama kawaida aisee yule mwanamke si akagoma ashuki lakin abiria wote hadi na mimi nimekubali yaishe kumpisha ibilisi.Nikamsihi sana akakubali kosa la konda na dereva walikua wanatukana sana.Kosa kubwa alilofanya konda si akamvuta akamtanulia tishert.Hapo ndipo nilimwona mwanamke nuksi.Na bahati mbaya alimsukuma akadumbukia kwenye mtaro alipopanda KONDA ALISUKUMWA CHINI mana alikua mdhaifu sijui kama alikua amekuta.ki ukweli alipigwa vibaya sana ananyanyuliwa anabwagwa chini kwenye tope kama mara tatu.Dereva akaleta mdomo alikula roba akuna dunian na vichwa vya kutosha.Wigi la mwanamke kule vinywele timtim aibu tupu.Mwanamke kapandisha masimba amsikilizi mtu.Si ndio nijipendekeze na mimi nimtulize beib."Beib acha bhana inatosha"Na mimi nikala roba ya hela yote.Nikasema nadhalilika.watu wamejaa bahati nzuri askari walikua karibu wakamshika.Nilipopata upenyo sikulaza damu.Nikatokomea kusiko julikana.Na safar ya mashamban ikaishia pale mwana mwanamke balaa yule anapiga vibaya.Mahusiano yaliishia palepale mara ya mwisho kukutana nae mwezi wa kwanza amebeba mtoto sijui ni wake ama laa!alivoniona alitabasam na alivo na sura ya upole.niliona tu kama ananikebehi.nikajikataa mbele
😂😂😂😂😂😂
Heaven Sent uliona hii?
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Umeoa bondia ndugu
 
Kuna mchepuko aliwahi kuniambia usiniletee ujinga.Tokea siku hiyo hajawahi kusikia sauti yangu wala kuona sura yangu. Mke wangu hatukuwai kutoleana tusi ata moja alafu mchepuko anitikane. Ilikua mara yangu ya mwisho kuchepuka japo ni miaka kama 10 imepita
 
Huu uzi unaonesha ni jinsi gani wanaume walivyopungua..
Unaanzaje kupigwa na mwanamke?
Mimi kwa jinsi ninavyojijua ni heri nisije kupata wa hivyo maana nitapata bonge la kesi
Yani akitokea mwanamke wa hivyo nakung'oa meno na uende huko polisi
 
Back
Top Bottom