Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Yaan dada yangu mwanamke huyu kupigana namimi hawez japo ananguvu sana maana aliponisalia ndio nikamgonga sana yaan mpaka sasa hivi anaumwa maana aliumwa wakunyweshwa uji maana nilijua nafungwa2 ila akawakataza kwao kunishtak nakwabahat mbaya nimezaa nae nachonzo chaugomvi nilimtamkia kwenye simu kuwa tuachane baada yakuzozana kwenye simu ndio asubuhi yako akaniamkia maana siishi nae anaishi kwao yaan alipokuwa anahali mbaya sikuwa nakula mpaka najihisi now naweza kuwa namadonda yatumbo

Na hii ndio shida, wadada wanaopigana na wanaume ndio nasema ni risky.
Mkuu angalia usije kupiga tena mwanamke usije ingia matatizoni.
 
Duuh nlishakua nae mmoja alikua hatar,mkitoka out halaf apite dem hata umwangalie tu hapohapo analianzisha,utembee nae usalimiwe na marafik wa kike hata wawl tu yey analianzisha na kuulza kwan una marafk wa kike tu...nliachana nae baadae sana nlkuja gundua ni mke wa mtu na mumewe ni soja hvyo alkua anasafr sana...roho iliniuma kutembea na mke wa mtu pasipo kujua
 
Mmachame wangu ni hatarii ila amenipata! Akimwaga ugari namwaga maharage ya nazi. Uwa napiga za chembe usiku unasikia anakuletea simu ongea na mama. Akinipa nasikia msamehe mwenzio! Mamaye!
Kudadadeki we kivuruge kweli[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mkuu wengine mpaka hivi sasa bado ' tunatibu ' majeraha ya ' kutukuka ' tuliyoyapata kutoka kwa ' Wapenzi ' wetu baada ya kupokea ' mkong'oto ' wa kufa Mtu. Kuna Wanawake wanapiga ' Ngumi ' za maana hata Mabondia wenyewe akina Klishko na Antony Joshua hawaoni ndani.

Niko pahala napunguza uchovu wa safari ya kusini, yaani nachekea tumboni. Pole sana mkuu
 
Haha dadeki, na hapo simu ikiita roho inafanya paaaa, unawaza leo atasemaje. Ukikuta missed call yake unaanza kujionea huruma
Duh hii ni kweli nakumbuka najione huruma,hasa pale inabidi utoke nae kwenda sehemu ya shughuli au starehe alafu unajua kuwa mtakuta na ndugu na marafiki wa karibu,yaani hujui utasema nini au utafanya nini ambacho kinaweza kumuuzi alafu akaanzisha zali la kufa mtu,au kutoa maneno yatakayokuvunjia heshima mbele za watu.Unaanza kuwa na huzuni kabla hata hamjaenda,wakati mwengine unaamua kutokwenda kabisa.na ukisema uenda peke yako,hata urudi saa tisa usiku unakuta anakung'oja sebuleni au kalala kwenye kiti na nguo za kutokea ,pemben kaweka kile kigongo cha kukandia chapati.
 
Na hii ndio shida, wadada wanaopigana na wanaume ndio nasema ni risky.
Mkuu angalia usije kupiga tena mwanamke usije ingia matatizoni.
Yaan mkuu namuomba mungu apone naugomvi nae sitaki tena zaidi yakuachana nae2 kimyakimya maana ubaya wahuyu mwanamke akisara anafunga mlango kabisa kwahiyo kusema hata umkimbie inakuwa nikazi ngumu sana
 
Na hii ndio shida, wadada wanaopigana na wanaume ndio nasema ni risky.
Mkuu angalia usije kupiga tena mwanamke usije ingia matatizoni.
Wengine kupigana sijui ni hoby!! Kuna mama mara utamuona na POP mguuni mara mkononi, mara kavimba uso, ukimuona na jeraha basi ujue na mumewe analo la kwake, siwaelewagi kabisa na ni watu wazima sasa[emoji134] [emoji134]
 
Ila kuna wanaume ni wagomvi pia jamani, watataaaaa!!
Nikisikia mtu mkurya natoka ndukiiiii sigeuki nyuma.
One of my aunts bana, physically yupo kinyaki, in short yupo fit kinoma ila ni mpole unahisi sio mnyaki kabisaa. Alipata mume, sijui sababu ya ule ufupi so akawa anajitutumua ili aheshimike. Akikosea tu ni anashushiwa kipondo, sometimes hata kosa hulioni. Siku hayo eti karudi home, aunt katoka nje na mtoto ile kambeba mgongoni anatembea naye ambembeleze alale, likawa kosa la kipigo. Ikabidi tu amwambie bwana wewe leo naomba iwe mwanzo na mwisho wa kunipiga. Siku aliyorudia kumpiga, alipewa nakozi mateke ya uhakika na tangu siku hiyo hajarudia tena kumpiga aunt.
 
Duh hii ni kweli nakumbuka najione huruma,hasa pale inabidi utoke nae kwenda sehemu ya shughuli au starehe alafu unajua kuwa mtakuta na ndugu na marafiki wa karibu,yaani hujui utasema nini au utafanya nini ambacho kinaweza kumuuzi alafu akaanzisha zali la kufa mtu,au kutoa maneno yatakayokuvunjia heshima mbele za watu.Unaanza kuwa na huzuni kabla hata hamjaenda,wakati mwengine unaamua kutokwenda kabisa.na ukisema uenda peke yako,hata urudi saa tisa usiku unakuta anakung'oja sebuleni au kalala kwenye kiti na nguo za kutokea ,pemben kaweka kile kigongo cha kukandia chapati.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahhaha hahhaha jamani nimecheka hadi chozi. Unamkuta na kisukumio cha chapati. Aisee pole
 
Back
Top Bottom