Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duh hii ni kweli nakumbuka najione huruma,hasa pale inabidi utoke nae kwenda sehemu ya shughuli au starehe alafu unajua kuwa mtakuta na ndugu na marafiki wa karibu,yaani hujui utasema nini au utafanya nini ambacho kinaweza kumuuzi alafu akaanzisha zali la kufa mtu,au kutoa maneno yatakayokuvunjia heshima mbele za watu.Unaanza kuwa na huzuni kabla hata hamjaenda,wakati mwengine unaamua kutokwenda kabisa.na ukisema uenda peke yako,hata urudi saa tisa usiku unakuta anakung'oja sebuleni au kalala kwenye kiti na nguo za kutokea ,pemben kaweka kile kigongo cha kukandia chapati.
Sent using Jamii Forums mobile app