NEVADA
JF-Expert Member
- Oct 15, 2017
- 458
- 940
Usicheke na mwanamke hata siku moja , ishi naye kama kijeshi tu .Ni amri na utekelezaji kwenda mbele , acheni ufala nyie midume suruali , ndo maana wanawatungia nyimbo .
Hawa viumbe hata vitabu vimeandika sio wa kuishi nao kiboya , sasa leteni ujinga wenu wa kuishi nao kizungu , mtavuna mlichopanda .
Narudia tena jianaume linaloendeshwa na mwanamke ni dhaifu na puuzi .