Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Sema kuna wanawake nao sikio la kufa au kenge asikii mpaka damu zimtoke,Ukute alikuwa anapigwa mara kwa mara wanaombana msamaha yanaisha.
Mja asili haachi asili, mwanaume mpigaji haachi,day one ya kipigo take action hutakaa upigwe Tena!
Kuna mfanyakazi mwenzetu alikua anakuja kazini uso umevimba damu,anavaa miwani anaongopa kajigonga na kitanda,siku moja tu walitaka kumuua ndugu wa mume walikua hawamtaki,walimburuta kutoka ndani mpk nje alichubuka mwili mzima!!!
Ndo akajua hapa kumbe kimebaki kifooo tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa muandiko huo aibu mtaona nyinyi tu[emoji23]!!!
Mwanamke akizama penzini ni zaidi ya zezeta, mtamaliza maneno ya kumshauri ila ndio kwanza atabeba mimba nyengine...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]afu kweli ujue

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mda mwingine wanawake mnakuwaga na mdomo sana.
Huyu tatizo sidhani hata kama ni mdomo ila nachoona ni kuwa amependa ambako hahitajiki, yanu analizimisha kuwepo mahali ambako haitajiki, i can just imagine vile kademu flani sikaelewi ila hakakauki na fantasies😁😁😁! Men can be furious for such reasons. Unakuta demu kajiubebesha na mimba kabisa wakati huna mahesabu nae kabisa
 
Mja asili haachi asili, mwanaume mpigaji haachi,day one ya kipigo take action hutakaa upigwe Tena!
Kuna mfanyakazi mwenzetu alikua anakuja kazini uso umevimba damu,anavaa miwani anaongopa kajigonga na kitanda,siku moja tu walitaka kumuua ndugu wa mume walikua hawamtaki,walimburuta kutoka ndani mpk nje alichubuka mwili mzima!!!
Ndo akajua hapa kumbe kimebaki kifooo tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi mbona sipigi tena japo alichezea nakoz enzi analeta wenge na alama anayo 😂! Sahizi kilichokuwa kinafanya apigwe anakijua and she never crosses that line anymore.
 
Huyu tatizo sidhani hata kama ni mdomo ila nachoona ni kuwa amependa ambako hahitajiki, yanu analizimisha kuwepo mahali ambako haitajiki, i can just imagine vile kademu flani sikaelewi ila hakakauki na fantasies[emoji16][emoji16][emoji16]! Men can be furious for such reasons. Unakuta demu kajiubebesha na mimba kabisa wakati huna mahesabu nae kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vipigo mastii!
Maana mpk siku ya kwenda kujifungua mwanaume kashindwa kuwepo nae!jamaa hakumpenda mdada ht kidogo ,Ila dada kampenda Sana mshikajii hyo ndo shida

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Picha linaanza jamaa lilikataa mimba halafu kid katoka copy na jamaa.Mke bonge la mpambanaji anauza unga lishe ,vitafunwa kwa kifupi macho kwenye hela ila jamaa sasa linabeba vibunda ,levi tumeshauri mpaka tumechoka aisee.
We subiri,kitamkuta kitu ndio ataelewa
 
Mi mbona sipigi tena japo alichezea nakoz enzi analeta wenge na alama anayo [emoji23]! Sahizi kilichokuwa kinafanya apigwe anakijua and she never crosses that line anymore.
Extrovert hajakukera bado km mwanzo atachezea tu Makonzi[emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi mnapigana afu baadae mnapeana Mambo ?au inakuaje?[emoji16][emoji16]ujue sielewi inakuaje
Aseehhh[emoji6][emoji3526][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vipigo mastii!
Maana mpk siku ya kwenda kujifungua mwanaume kashindwa kuwepo nae!jamaa hakumpenda mdada ht kidogo ,Ila dada kampenda Sana mshikajii hyo ndo shida

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
There isnt any excitement, mwanamke humpendi hata kidogo yani
 
Back
Top Bottom