Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,771
- 39,446
Mimi huo mda wa kuandika insta sitakuwa nao nitakuwa ndani napanga mipango kipi kinamfaa moto au tind...Ha haaaa haaaa we unaelewa bwana.....yaani kumwita Ochu big no😂
Mimi huo mda wa kuandika insta sitakuwa nao nitakuwa ndani napanga mipango kipi kinamfaa moto au tind...Ha haaaa haaaa we unaelewa bwana.....yaani kumwita Ochu big no😂
Wengi ni ma psychopath,, hawajiamini nkAsehehh!pole Sana my dear...mpk anakutoa kucha !Lazima umchukie maisha yote,pole Sana my dear!
Yaani huu ukatili sijui unatokana na nini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe Sasa tunaenda sawa😄..... sijui kapata wapi nguvu ya kuandikaMimi huo mda wa kuandika insta sitakuwa nao nitakuwa ndani napanga mipango kipi kinamfaa moto au tind...
Nishapoa,, niko poa sanaPole Sana cute😔
🤣🤣🤣 waja tuna mambo mazito jamaniKujali kejeli si kosa la wanaomkejeli bali ni kosa la anaezipa attention hizo kejeli.Mamdogo wangu amepambana na mumewe toka umaskini mpaka kufanikiwa kujenga....Lakini mwisho wa siku watu wanamsimanga eti hafananii kuwa mama wa mjengo huo coz yeye ni mwembamba🤣🙌 dunia hii ishi uwezavyo watu hawatoacha kukuongelea
Onho,maisha haya simamia unachokiamini🤣🤣🤣 waja tuna mambo mazito jamani
Ndoa ya kutoana ngeu Kama hivi .poo kwanza !!Ndo maana sijali watu wanasema nn....ndoa si kilakitu maishani.Uhai ni muhimu Sana Kwa wanangu na mama angu
Shangaa wanarudiana Hawa ujue!mapenzi kwio Sana!![emoji16]Huyu dada kwa tathimini za haraka ataendelea kupigwa Sana,,,hicho kitendo Cha kupigwa hivyo halafu bado anamwita sijui Ochu,Mara ooh naogopa kuwa single mother,Mara najishusha atakuta siku moja huyo Ochu kamtia bisu la roho....tujifunze kusoma majira na nyakati
Visirani na gubu lisilotarajiwa acha kabisaMwanamke akiwa mja mzito kaa nae mbali unaweza kuja kuua wanakuaga na jeuri na ukiburi uliopitiliza Mimba hua zina wachanganya sana
Ulizaliwa mzima,kidubwana from no where anakungeusha,wallah🤦Ndoa ya kutoana ngeu Kama hivi .poo kwanza !!
Acha tuitwe majina machafu yote
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Msemage na chanzo cha kudungwa mangumi lakiniKuna wanaume makatili,, niliwahi kupitia ukatili huu wa vipigo tena nikiwa mjamzito wa miezi tisa maana baada ya wiki tu nilijifungua,, ni aibu sana dunia hii kumpiga hivyo mwanamke, Ni udhalilishaji, inaathiri saikolojia, inaleta chuki, inaua hisia za mapenzi, inaharibu mwili km hivyo hizo nyuzi tayari ni kovu, inaua mahusiano, madhara ni mengi na makubwa,,
kuliko kufa kwa kipigo heri ukaachika japo jamii itakusakama ila heri hivyo,,
[emoji38][emoji16][emoji16]kasema kamsamehe duniani na kesho kwa Mungu huyu alitakia mda huu awe behind bars kwa kosa la mauaji etiiHa haaa... Shortly hayuko serious...anaandika waraka Instagram baadala akaandike maelezo Kilwa road central
Nyie bila vipigo hamuendiUlizaliwa mzima,kidubwana from no where anakungeusha,wallah🤦
Yaani hapo ndo tunafeli wadada yaani kwanza like Kofi la siku ya kwanza tu angeimba haleluyaa mbona!Mi naona huyu dada ndo shida....! Umepoteza mtoto ndo unaanza kufunguka..lol...afu andika yake inaonesha soon akiombwa msamaha atarudi .shenzi mno
🤣🤣🤣Aisee🙌Nyie bila vipigo hamuendi
Alikua mjamzito kweli,na amechezea kipigo mpk kajifungua mtoto kafa,yaani kushonwa na manyuzi juu!!!huzuni sana my dearKumbe Naira alikuwa mjamzito na nje ya jua kali [emoji20]
Lenie emu njoo umuone Naira
Mtu haanzagi tu ghafla kukuletea visanga/ kipigo.. lazima dalili zilionekana.. sasa Huyo Naira kuogopa kuwa singo mama ndio kilichomponza.. pole yake
Kejeli na lawama dhidi ya singo mama zisingekuwepo, hayo yote yasingemtokea huyo binti…
Ochu sijui kamfanya Nini huyu dada😝😝😝😝[emoji38][emoji16][emoji16]kasema kamsamehe duniani na kesho kwa Mungu huyu alitakia mda huu awe behind bars kwa kosa la mauaji etii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wapi huko didi akeKumbe Naira alikuwa mjamzito na nje ya jua kali 😞
Lenie emu njoo umuone Naira
Mtu haanzagi tu ghafla kukuletea visanga/ kipigo.. lazima dalili zilionekana.. sasa Huyo Naira kuogopa kuwa singo mama ndio kilichomponza.. pole yake
Kejeli na lawama dhidi ya singo mama zisingekuwepo, hayo yote yasingemtokea huyo binti…