Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

[emoji38][emoji38][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]!!!!tindikali au namkata uume wake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yes maana mtu akijifanya katili kwenye mwili wako nawe unatakiwa umuoneshe zaidi ila mapenzi yalivyo ya ajabu huyo bibie kesho anapeleka mbususu jamaniii kuna watu wana roho za pekee kwa kweli😬
 
Yan ulidhani hapa tuko selfika?
🤣🤣🤣 mazoea mabaya

Uwiii jinsi nikogo emotional adi nimeshindwa kumalizia hiyo story yake aliyoandika insta.
Looks like dada alikua anafosi penzi, mwanaume hakumpenda.
Inaonekana alionyeshwa red flag mapema sana ila alipuuzia.

Ila kumpiga mjamzito ni ukatili pro max
 
Hata kama mkuu..ndo kutaka kumuua. Hadi kichanga tumboni. Jamani eeh mkishaona mmeshindwana kila mmoja aambae
Hivi umeshaona visa vya wanawake ambao wanatumia mimba kujinga na uovu mbaya sana wanaofanya? Na wanajua kabisa mwanamme akijaribu kumpiga wanatachukuwa picha na ku-post kwenye social media ili kuendelea kuficha uovu wao? Mimi huwa nalaani kitendo cha wanandoa kupigana kwa nguvu zote lakini kuna wanawake ukielezwa ushenzi wao utashangaa1
 
Wanawake mnapenda kulia lia mtetewe... Yes kuna wanaume makatili lakini pia kuna wanawake makatili mashetani kuliko hao wanaume ni kwavile wanaume wanaishia kukaa kimya na kufa kimya kimya... Mtulize hayo makomwe yenu tatzo mna kiherehere na ndoa mkishafikisha miaka fulani stress za kudandia kila mwanaume ilimpate ndoa zinawaanza. Mnaishia kuteswa maisha yenu yote, sasa hivi mkiambiwa tulieni mnajifanya kiguu na njia kidimbwi kila weekend hukosi mnapenda sana starehe na Show-Off, the moment mnakuja kuzinduka ndio mnataka ndoa mnakutakana na mwamba kavurugwa na maisha na katendwa na wanawake kila ukimwambia kitu anakuzibua makofi ngumi teke... All in all UKATILI NI MBAYA, hizo nguv mnazotumia kuwaponda wanaume mtumie nguv hizohizo kuwaponda wanawake wenzenu makatili wanao tupa watoto, wanaotoa mimba, wanaotesa wanaume zao n.k...
Sijabisha ishu kupigwa na mimba!brooh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ochu anamatatizo ya akili, atakuwa anatumia madawa ya kulevya

hana maana ht kidogo..
 
Nonsense. Wewe ndo wakwanza kuishi na mke? Ukimpiga unapata faida gani? Kwanini msiachane? Mtu kama wewe tayari you're prepositioned kufanya ukatili wa namna hii.
......ukishakua na ukioa utajua dogo. Sasa bado una ufeminist.
 
Msimamo Wangu ni kwamba popote pale nikimkuta mwanamke analia Sitamuonea huruma hadi pale nitakapojua story ya upande wa pili.
Believe this gender at your own peril, they always playing victim cards.
Her husband cannot just wake up and do such atrocities things to her unprovoked, she must have done something that annoyed him.
I never ever pity this gender.
Hajaijua hii jinsia huyo
 
Nakubaliana na wewe. Mara nyingi ugomvi kwenye ndoa chanzo chake kinakuwa wanaume. Lakini subiri: Kwa wenye akili na experience ya maisha kama mimi huwa tunasema. Kwenye ndoa usi-judge lolote bila kusikiliza pande zote. Narudia tena: maelezo ya upande mmoja, hata yawe na ushawishi namna gani katu hayatanishawishi kulaani. Experience ya maisha imenifunza mengi!
Sijaandika ili nionewe huruma wala siko hapa kukufurahisha wewe unaweza kufikiri na kuipokea comment yangu kwa kadri mtizamo wako utakapokuruhusu,, iwe hasi au chanya ni wewe tu,,

nimetoa hadithi inayofanana na mada,, halafu ungejua nilivyo kwasasa kutokana na magumu hayo nina raha moyoni,, Mungu amenipa kicheko sina kinyongo kabisa na hiyo past, ilikuwa lazima nipitie huko ili niwe hapa nilipo
 
Sema kuna wanawake nao sikio la kufa au kenge asikii mpaka damu zimtoke,Ukute alikuwa anapigwa mara kwa mara wanaombana msamaha yanaisha.
 
Hii kesi ni mwana kulitaka mwana kulipata. Eti pamoja na kipigo bado alijishusha kuogopa usingo maza,kwani kuwa singo maza kuna ubaya gani,ona sasa kapoteza huyo mume na mtoto,bora angeokoa mtoto kwa maamuzi ya haraka. Haikua na haja ya yeye kubembeleza penzi lililokufa.

Joyce kiria kila kukicha anatoa somo la kukimbia ukatili watu wanamuona mwehu anafundisha wenzie viburi kumbe anawaokoa na majanga yanayoepukika
 
Kuna ile situation mpo ndani mnapishana kauli kidogo na ukute nyuma kidogo mlikuwa na mgogoro wa kimapenzi then mwanamke anaropoka “Hata hii mimba siyo yako,wakuweka mimba utakuwa wewe??”, ktk hali kama hii unategemea nini!!!

Ni mambo yapo kwenye jamii na miaka yote yamekuwepo ukipatana na mwenye roho nzuri shukuru dunia mchanganyiko wapo wenye roho mbaya wapo wenye roho nzuri.
Kuna mmoja alimwambia mwenzake kwa lisura hilo unadhani ningekubali unipachike mimba? Hii kapachika mwenye sura yake mjini. Kilichofuata sasa! In short vipigo vingine wajinunulia tena kwa bei ghali
 
🤣🤣🤣 mazoea mabaya

Uwiii jinsi nikogo emotional adi nimeshindwa kumalizia hiyo story yake aliyoandika insta.
Looks like dada alikua anafosi penzi, mwanaume hakumpenda.
Inaonekana alionyeshwa red flag mapema sana ila alipuuzia.

Ila kumpiga mjamzito ni ukatili pro max
Nikiwaga mbabe unanisema… haya endeleeni kuwa nyoro nyorooo
 
Back
Top Bottom