Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,911
- 37,161
Shida haipo kwenye mikono Wala miguu yetu Kuna kitu kipo Kati Kati ya maskio hapo Hiko ndio kimebeba shida .Lloyd Munroe njoo uone huku
Mwili mtumwa Kuna master huyo ndio hatari
Shida haipo kwenye mikono Wala miguu yetu Kuna kitu kipo Kati Kati ya maskio hapo Hiko ndio kimebeba shida .Lloyd Munroe njoo uone huku
Nikikereka tu kilio na kununa [emoji16][emoji16][emoji3526][emoji3526][emoji3526]yaani km hujazoea utapata shida Sana!siongei Ila Sasa nakua napenda sex mnooo!!!yaani leo nadinyana kesho labor [emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!!Dah, why crying tho?
Hahahaha!jamani kaahh!ndo umpige kabisaUzuri sababu ya kichapo anakuwa kaitengeneza yeye, basi burudanii
Akishasikia "niachie kelele" ...."hebu ninyamazie" hiyo ni amri sio ombi, siongei tena kitakachofata ni makofi.
Aisee hizo drama ningeaga mashindano mapema sana, nadhani naelewana na mwanamke mkomavu zaidi thus why akileta utoto namtiaga makofi. Drama its a big no, tuongee tufurahie ila getting crazy i cant deal with nagging and shietNikikereka tu kilio na kununa [emoji16][emoji16][emoji3526][emoji3526][emoji3526]yaani km hujazoea utapata shida Sana!siongei Ila Sasa nakua napenda sex mnooo!!!yaani leo nadinyana kesho labor [emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!!
Mimba zangu ni visirani na kulia tu!nakua km mtoto
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nikikereka tu kilio na kununa [emoji16][emoji16][emoji3526][emoji3526][emoji3526]yaani km hujazoea utapata shida Sana!siongei Ila Sasa nakua napenda sex mnooo!!!yaani leo nadinyana kesho labor [emoji16][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!!
Mimba zangu ni visirani na kulia tu!nakua km mtoto
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwenye hii Dunia ya mapenzi Kuna wanaumme wazur sana Tena sana na Kuna wanawake wazur sana Tena sana. Na upande wa pili Kuna wanaumme Vimeo/wabaya sana Tena sana na Kuna wanawake wabaya sana. Mkiendana mnamshukuru Mungu na msipoenda mnaishi kimachale.Msimamo Wangu ni kwamba popote pale nikimkuta mwanamke analia Sitamuonea huruma hadi pale nitakapojua story ya upande wa pili.
Believe this gender at your own peril, they always playing victim cards. Her husband cannot just wake up and do such atrocities things to her unprovoked, she must have done something that annoyed him.
I never ever pity this gender.
Siyo wote. Wapo wenye huruma, upole na ustaarabu, ila wanawake wengine wanazitumia hizi sifa kama udhaifu.Ndivyo mlivyo siku zote. Leo mnajishangaa[emoji848]
Kwenye ndoa siyo kila kesi ni kukimbilia kuachana ingekuwa ni kitu simple kiasi hiko wanaume wengi sana wangeshavunja ndoa zao kutokana na kupewa adhabu ya “kubaniwa upaja” if you catch what i mean!!Nonsense. Wewe ndo wakwanza kuishi na mke? Ukimpiga unapata faida gani? Kwanini msiachane? Mtu kama wewe tayari you're prepositioned kufanya ukatili wa namna hii.
Wengi ni wakatili. Na ubaya unaonekana kuliko uzuri.Siyo wote. Wapo wenye huruma, upole na ustaarabu, ila wanawake wengine wanazitumia hizi sifa kama udhaifu.
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaahhh...pole yake,mi sijawahi asehh..kupigwaaaAkishasikia "niachie kelele" ...."hebu ninyamazie" hiyo ni amri sio ombi, siongei tena kitakachofata ni makofi.