To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,219
- 37,951
Pole Sana cute😔Kuna wanaume makatili,, niliwahi kupitia ukatili huu wa vipigo tena nikiwa mjamzito wa miezi tisa maana baada ya wiki tu nilijifungua,, ni aibu sana dunia hii kumpiga hivyo mwanamke, Ni udhalilishaji, inaathiri saikolojia, inaleta chuki, inaua hisia za mapenzi, inaharibu mwili km hivyo hizo nyuzi tayari ni kovu, inaua mahusiano, madhara ni mengi na makubwa,,
kuliko kufa kwa kipigo heri ukaachika japo jamii itakusakama ila heri hivyo,,