Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

reymage

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
12,465
Reaction score
29,395
Hali ilivyo Sasa ya kizazi chetu ni mbaya Sana, wanawake na wanaume wamekua wahanga wa manyanyaso kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi.

Kiukweli Sasa hivi ukatili wa kijinsia umeongezeka mnoo,Ila cha kushangaza unawezaje kumpiga mkeo au mpenzi wako mwenye mimba ,[emoji26][emoji26][emoji26]bila huruma ?kipigo cha mbwa mwizi?hivi mmerogwa?stress za tozo,ugumu wa maisha au ndo kutaka mtoto afe?

Honestly ktk maisha yangu toka kuzaliwa sijawahi shuhudia vipigo kutoka kwa baba akimpiga mama.
Sasa hivi naona ndo staili ya maisha kupigana ,uhai wenyewe mfupi bado unampiga mtu na mimba?huzuni sana ... inasikitisha

Nimesikitshwa na habari ya huyu dada kwa kweli amepigwa na mmewe na mimba ya miezi nane, mpk amejifungua mtoto bahati mbaya(amefariki)yote nadhani chanzo ni vipigo vya kikatili

Nimegundua watu wengi wanaishia kwenye mateso ya ndoa kuogopa kuwa single..!daahhh huzuni sana aseehhh
Huyu dada ni msanii wa jua Kali,Sasa Kama hao watu maarufu wananyanyasika hvyo huku kungine Hali ikoje?
Unapiga mtu mwenye mimba?ujue sijawahi kushuhudia huwa naskia juu juu tu kumbe haya Mambo yapoo?

Wanaume pungunzeni ukatili,tumeambiwa pepo ziko chini yenu lakini sio kwa kumpiga mtu mpk kushonwa !mtupende mkishindwa turudisheni kwa wazazi wetu kwa usalama na amani kabisaa!!haha kupigana na mimba

hapana kabisa
Screenshot_20220821-155214.jpg
Screenshot_20220821-155214.jpg
Screenshot_20220821-155221.jpg
Screenshot_20220821-155231.jpg
Screenshot_20220821-155248.jpg
Screenshot_20220821-155158.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220821-155248.jpg
    Screenshot_20220821-155248.jpg
    34.8 KB · Views: 16
Kuna wanaume makatili,, niliwahi kupitia ukatili huu wa vipigo tena nikiwa mjamzito wa miezi tisa maana baada ya wiki tu nilijifungua,, ni aibu sana dunia hii kumpiga hivyo mwanamke, Ni udhalilishaji, inaathiri saikolojia, inaleta chuki, inaua hisia za mapenzi, inaharibu mwili km hivyo hizo nyuzi tayari ni kovu, inaua mahusiano, madhara ni mengi na makubwa,,

kuliko kufa kwa kipigo heri ukaachika japo jamii itakusakama ila heri hivyo,,
 
Asehh pole Sana my dear!haya Mambo jamani yanaumiza Sanaa
Yaani anakupiga ukiwa na kiumbe wake tumboni?hata Kama hasira ndo za aina hyooo ?!!!
Pole Sana!no Bora kuachana kuliko mateso
 
Asehh pole Sana my dear!haya Mambo jamani yanaumiza Sanaa
Yaani anakupiga ukiwa na kiumbe wake tumboni?hata Kama hasira ndo za aina hyooo ?!!!
Pole Sana!no Bora kuachana kuliko mateso
Kuna ile situation mpo zenu ndani mnapishana kauli kidogo na ukute nyuma kidogo mlikuwa na mgogoro wa kimapenzi then mwanamke anaropoka “Hata hii mimba siyo yako,wakuweka mimba utakuwa wewe??”, ktk hali kama hii unategemea nini!!!

Ni mambo yapo kwenye jamii na miaka yote yamekuwepo ukipatana na mwenye roho nzuri shukuru dunia mchanganyiko wapo wenye roho mbaya wapo wenye roho nzuri na hao wote wanatengenezwa ukitaka mtu awe smoothly kwako chunga mdomo wako ukitaka awe m'baya tumia mdomo wako vibaya.
 
Back
Top Bottom