reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,465
- 29,395
- Thread starter
- #81
Wana hasira za maisha mnooo wanaume,yaani Kama wamechanganyikiwa vile na maishaYaani kipenzi kwa sasa hata ukitenda kosa dogo wenzetu hawajui ni kipigo kwa kweli tunaomba serikali wanapopita kuhesabu watu waje na vipimo kupima kama Mme wako sawa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app