Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Ukweli unabaki palepale mkuu kuwa kupiga mwanamke sio solution!
Nakubali kweli dada yangu, hilo sitapinga na kwaujumla sitakubali dada yangu afanyiwe hivyo ila hata siku moja usijitetee uovu wako kwakufichua uovu wa mwingine. Jianze kujiita wewe hayo majina mengine kabla hujamwiita mwingine, jiulize kama wewe una akili timamu kwa unalolifanya ndiyo umjudge mwingine
 
Nakubali kweli dada yangu, hilo sitapinga na kwaujumla sitakubali dada yangu afanyiwe hivyo ila hata siku moja usijitetee uovu wako kwakufichua uovu wa mwingine. Jianze kujiita wewe hayo majina mengine kabla hujamwiita mwingine, jiulize kama wewe una akili timamu kwa unalolifanya ndiyo umjudge mwingine
Huo ni ukatiliiiiiii!! Tena Ukatili uliopitiliza! Mama Mjamzito anahitaji special care and attention sio kudundwa dundwa wala kuwa disturbed by any means!
 
Ngumu sana kutoa neno upande mmoja, Zipo hatua za kisheria aanze nazo watasikilizwa pande zote na kama mmkosa cha atakiona..
Aanze Tamwa na wao watamuelekeza pa kwenda,
Jinai ni jinai tuu ndio maana elimu ya (Adabu inafundishwa kwa vitendo)
 
Huo ni ukatiliiiiiii!! tena Ukatili uliopitiliza! Mama Mjamzito anahitaji special care and attention sio kudundwa dundwa wala kuwa disturbed by any means!
Sijakupinga dada yangu, nilichopings nikuleta point ya kustereotype jinsia fulani kana kwamba wao sio makatili. Ukatilii uliopitiliza, hujawahiona mwanamke anamtupa kichanga chooni au kusikojulikana au huo ni ukatili wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23].

Pili mama mwenye mimba anastahili kupewa care ila sio special care. Ukishaiita special utamuelemea mwenzako na kumfanyia mabaya kwaneno kwamba sisi ni special. Nakwambia tena, mwili wa kila jinsia physiology yake imetengenezwa kuhandle changes zinapotokea ikiwamo mimba. Anatakiwa akingwe na misukosuko ila disturbance zipo maana haujaondoka duniani.

Ukienda na psychology hio kwamwenza wako atakuchukia, maana hata wewe kipindi unabeba mimba ulijua mabadiliko yatakayotokea mwilini mwako hivyo usimuelemee mwenzako. Disturbance zipo kwamaana bado unaishi duniani. Mimba sio kinga yakujifanya mjinga usiyejua zuri au baya. Ulichagua kubeba mimba basi isiwe kero kwa mwingine.
 
Sijakupinga dada yangu, nilichopings nikuleta point ya kustereotype jinsia fulani kana kwamba wao sio makatili. Ukatilii uliopitiliza, hujawahiona mwanamke anamtupa kichanga chooni au kusikojulikana au huo ni ukatili wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]. Pili mama mwenye mimba anastahili kupewa care ila sio special care. Ukishaiita special utamuelemea mwenzako na kumfanyia mabaya kwaneno kwamba sisi ni special. Nakwambia tena, mwili wa kila jinsia physiology yake imetengenezwa kuhandle changes zinapotokea ikiwamo mimba. Anatakiwa akingwe na misukosuko ila disturbance zipo maana haujaondoka duniani. Ukienda na psychology hio kwamwenza wako atakuchukia, maana hata wewe kipindi unabeba mimba ulijua mabadiliko yatakayotokea mwilini mwako hivyo usimuelemee mwenzako. Disturbance zipo kwamaana bado unaishi duniani. Mimba sio kinga yakujifanya mjinga usiyejua zuri au baya. Ulichagua kubeba mimba basi isiwe kero kwa mwingine.
Of course ni ukatili ila Hapa tumeongelea mamaa Mjamzito na upekee wake!
 
Huo ni ukatiliiiiiii!! tena Ukatili uliopitiliza! Mama Mjamzito anahitaji special care and attention sio kudundwa dundwa wala kuwa disturbed by
any means!
Hilo sijapinga kabisa dada yangu, ila point yangu ilikuwa kwenye point ya kuanza kuwaita wanaume majina tofauti na ya dharau ikiwa waliifanya sio wanaume wo
Of course ni ukatili ila Hapa tumeongelea mamaa Mjamzito na upekee wake!
So ili uonyeshe upekee wake ndio umponde mwingine 😂😂😂. Dah! Dunia inamambo. Elezea upekee wake, kemea na makosa yaliyotokea ila sio kumponda au kumshusha thamani mwenzako. Naache upekee mwanaume autengenezee ni wakiwango gani ambayo huyo mama mjazito anao bali sikwawewe kujiita au kuforce upekee. Wazazi hufukuza hadi watoto wao wakike wenye mimba, ila bado utaniambia mzazi hajui thamani ya mwanaye na mimba alibeba yeye. Hivyo ukipata mimba shukuru Mungu, ila usijiweke kusema mimi niwapekee, acha wakupendao wakutreat hivyo. Mindset ya upekee itakuumiza sana.
 
Mi naona huyu dada ndo shida....! Umepoteza mtoto ndo unaanza kufunguka..lol...afu andika yake inaonesha soon akiombwa msamaha atarudi .shenzi mno

Hapo kwa yeye ndo ana shida sina cha kusema ila kurudi kwa huyu alompiga asilimia ni kubwa sana.
 
Matatizo mengi ya kwenye ndoa au mahusiano yanatokea na yataendelea kutokea kwasababu ya jamii kuwasikiliza wanawake kuliko wanaume hata kama mwanamke anaongea uongo hakuna mtu atafanya alichokifanya huyo jamaa bila sababu what if alijua analea mimba si yake halafu mambo yakishaharibika wanakimbilia mtandaoni wapate huruma ili wale kina dina mario na wanaharakati mchwara pamoja na masingo mama waliokubuhu ili wapate faraja hyo jamaa sio kichaa hawezi mpiga huyo demu bila sababu wanawake kuweni na heshima sometimes kwa watu wanaojitoa kwa ajili yenu.
 
Dem mwenyewe mwigizaji. apa siwezi kujudge kwa story ya upande mmoja
 
Hali ilivyo Sasa ya kizazi chetu ni mbaya Sana, wanawake na wanaume wamekua wahanga wa manyanyaso kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi.

Kiukweli Sasa hivi ukatili wa kijinsia umeongezeka mnoo,Ila cha kushangaza unawezaje kumpiga mkeo au mpenzi wako mwenye mimba ,[emoji26][emoji26][emoji26]bila huruma ?kipigo cha mbwa mwizi?hivi mmerogwa?stress za tozo,ugumu wa maisha au ndo kutaka mtoto afe?

Honestly ktk maisha yangu toka kuzaliwa sijawahi shuhudia vipigo kutoka kwa baba akimpiga mama.
Sasa hivi naona ndo staili ya maisha kupigana ,uhai wenyewe mfupi bado unampiga mtu na mimba?huzuni sana ... inasikitisha

Nimesikitshwa na habari ya huyu dada kwa kweli amepigwa na mmewe na mimba ya miezi nane, mpk amejifungua mtoto bahati mbaya(amefariki)yote nadhani chanzo ni vipigo vya kikatili

Nimegundua watu wengi wanaishia kwenye mateso ya ndoa kuogopa kuwa single..!daahhh huzuni sana aseehhh
Huyu dada ni msanii wa jua Kali,Sasa Kama hao watu maarufu wananyanyasika hvyo huku kungine Hali ikoje?
Unapiga mtu mwenye mimba?ujue sijawahi kushuhudia huwa naskia juu juu tu kumbe haya Mambo yapoo?

Wanaume pungunzeni ukatili,tumeambiwa pepo ziko chini yenu lakini sio kwa kumpiga mtu mpk kushonwa !mtupende mkishindwa turudisheni kwa wazazi wetu kwa usalama na amani kabisaa!!haha kupigana na mimba

hapana kabisaView attachment 2331362View attachment 2331364View attachment 2331365View attachment 2331366View attachment 2331367View attachment 2331368
 
Asehh pole Sana my dear!haya Mambo jamani yanaumiza Sanaa
Yaani anakupiga ukiwa na kiumbe wake tumboni?hata Kama hasira ndo za aina hyooo ?!!!
Pole Sana!no Bora kuachana kuliko mateso
Hivi Rey kuna mwanaume kichaa atapiga bure tu?
Unajua kuna wanawake kichomi?
 
[emoji38][emoji38][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]!!!!tindikali au namkata uume wake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Fanya hivyo halafu ukimbie kusipojulikana otherwise nakusukia mipango lazima upigwe mitungo baada ya hapo tunakupiga mpka tunakupa kilema au kukuua kabisa


Matatizo mengi chanzo ni mwanamke ndio maana tunasema husimuonee huruma mwanamke

So hapo hatuwezi sikiliza story upande mmoja
 
Hatari sana Wanaume wenye tabia hizi badilikeni kuweni na hofu ya Mungu.
 
Back
Top Bottom