Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Kuna wanaume makatili,, niliwahi kupitia ukatili huu wa vipigo tena nikiwa mjamzito wa miezi tisa maana baada ya wiki tu nilijifungua,, ni aibu sana dunia hii kumpiga hivyo mwanamke, Ni udhalilishaji, inaathiri saikolojia, inaleta chuki, inaua hisia za mapenzi, inaharibu mwili km hivyo hizo nyuzi tayari ni kovu, inaua mahusiano, madhara ni mengi na makubwa,,

kuliko kufa kwa kipigo heri ukaachika japo jamii itakusakama ila heri hivyo,,
Pole sana aisee, ni ngumu sana ku deal na bandidu! Sometimes huwa mnayatakaga lakini kwa kutojielewa. Mtu anayekupenda unamlete maringo unaenda kwa mshenzi huambiwi husikii
 
Usimpige bhana,mbususu zenyewe Mbona Wala nje huko
Yeye mbona namuhudumia kila kitu na hafi wazazi wake yeye anashindwaje kupanua miguu mie nipate utelezi? Ujinga huo . Alielewa akaacha ujinga
 
Suala sio kuishi na mke the issue is kupiga mama mwenye mimba mpk anashonwa? Inakuaje yaani?hapo ndo shida ilipo
GUY Waigbo anamsemo wao kwamba:, KILE MTU MZIMA/MZEE ANACHOWEZA KUJIONA AKIWA AMEKAA, MTOTO MDOGO AWEZI KUKIONA HATA AKIWA AMEPANDA JUU YA MNAZI. .. Mwaka 2012 sina kazi na homu Mshua kanifukuza nikaenda panga chumba 1 tu... Ili li-mbwa likajisogeza unexpectedly mara paap mimba.
So, nikawa si bagui kazi,kila kazi twende miezi miwili mbele ajifungue nikawa nimesevu kiasi Fulan kwa ajiri ya maandalizi.
Hii pesa nikikaa nayo nitaitumia na muda wa waifu kujifungua umefika nifanye nini!..Asha chukua hii pesa kaa nayo usiiguse kabisa maadam kila kitu tunacho ndani naomba tafadhali itunze hii pesa itafanya kazi pindi ukijifungua, nikampa.

Baada ya siku 60 na ushee mbele nipo zangu mishe napokea simu kuwa mkeo uchungu umemshika majirani wamempeleka hospital, moyo ukafurahi leo napata mgeni na kianzio kipo.
Nikapiga zangu mguu hadi hospital, nimefika hospital nikapewa bili na tax driver anasubiri pesa yake na mpangaji mwenzangu katoa pesa aliyopewa na mmewe ya matumizi ya jioni akanunua mabeseni na vitu baadhi kwa matumaini kwamba nikifika nitampatia pesa yake, nikasema sawa nikaingia wodin na pole nyingi sana kizaa zaa kilianza nilimpomuuliza ile pesa iko wapi.. Nilipomuuliza ilo swali akaanza kukemea Eeh Eeh ,mwanzoni nikajua ni kwasababu ya maumivu anayohisi baadae nikagundua kuwa kuna shida pahari.. Nilipomkazania kumuuliza akaniambia pesa hipo ndani sehemu fulan, nikatoka nje nikamwambia driver tax anipeleke homu kuchukua fungu na nitaongeza kiasi Fulan, kufika nyumbani kagua sehemu aliyoniambia kaweka pesa hakuna, nikarudi hospital nikamwambia pale aliponielekeza pesa hakuna, akabaki kimya bila jibu.
Nikamuuliza tena kwa ukali pesa iko wapi, akasema nilisahau ipo kwenye hii simu yangu nikamwambia nionyeshe na nipe na PIN nikatoe nilipe bili na tax driver, nikaona mkono wake umekuwa mzito kunipa simu, mi nikachukua simu kwa hasira nikamwambia anitajie PIN akanitajia pini ile kucheki salio... Loh LOH. ALHAMUDULILLAH NESI ALIYEKUWA KARIBU YANGU ALISENSI NILICHOTAKA KUKIFANYA AKANISHIKA MKONO KWA NGUVU..
 
Yaani ifike mahali wanawake tujitambue
Picha linaanza jamaa lilikataa mimba halafu kid katoka copy na jamaa.Mke bonge la mpambanaji anauza unga lishe ,vitafunwa kwa kifupi macho kwenye hela ila jamaa sasa linabeba vibunda ,levi tumeshauri mpaka tumechoka aisee.
 
Kuna ile situation mpo ndani mnapishana kauli kidogo na ukute nyuma kidogo mlikuwa na mgogoro wa kimapenzi then mwanamke anaropoka “Hata hii mimba siyo yako,wakuweka mimba utakuwa wewe??”, ktk hali kama hii unategemea nini!!!

Ni mambo yapo kwenye jamii na miaka yote yamekuwepo ukipatana na mwenye roho nzuri shukuru dunia mchanganyiko wapo wenye roho mbaya wapo wenye roho nzuri.
Huo uropokaji wa kiboya ndio huwa unanijazaga gas nikishasema ninyamazie ukajifanya kiziwi kitakachofuata utajuta kufungua bakuli. Sipendi mwanamke mwenye domo chafu kabisa.
 
GUY Waigbo anamsemo wao kwamba:, KILE MTU MZIMA/MZEE ANACHOWEZA KUJIONA AKIWA AMEKAA, MTOTO MDOGO AWEZI KUKIONA HATA AKIWA AMEPANDA JUU YA MNAZI. .. Mwaka 2012 sina kazi na homu Mshua kanifukuza nikaenda panga chumba 1 tu... Ili li-mbwa likajisogeza unexpectedly mara paap mimba.
So, nikawa si bagui kazi,kila kazi twende miezi miwili mbele ajifungue nikawa nimesevu kiasi Fulan kwa ajiri ya maandalizi.
Hii pesa nikikaa nayo nitaitumia na muda wa waifu kujifungua umefika nifanye nini!..Asha chukua hii pesa kaa nayo usiiguse kabisa maadam kila kitu tunacho ndani naomba tafadhali itunze hii pesa itafanya kazi pindi ukijifungua, nikampa.

Baada ya siku 60 na ushee mbele nipo zangu mishe napokea simu kuwa mkeo uchungu umemshika majirani wamempeleka hospital, moyo ukafurahi leo napata mgeni na kianzio kipo.
Nikapiga zangu mguu hadi hospital, nimefika hospital nikapewa bili na tax driver anasubiri pesa yake na mpangaji mwenzangu katoa pesa aliyopewa na mmewe ya matumizi ya jioni akanunua mabeseni na vitu baadhi kwa matumaini kwamba nikifika nitampatia pesa yake, nikasema sawa nikaingia wodin na pole nyingi sana kizaa zaa kilianza nilimpomuuliza ile pesa iko wapi.. Nilipomuuliza ilo swali akaanza kukemea Eeh Eeh ,mwanzoni nikajua ni kwasababu ya maumivu anayohisi baadae nikagundua kuwa kuna shida pahari.. Nilipomkazania kumuuliza akaniambia pesa hipo ndani sehemu fulan, nikatoka nje nikamwambia driver tax anipeleke homu kuchukua fungu na nitaongeza kiasi Fulan, kufika nyumbani kagua sehemu aliyoniambia kaweka pesa hakuna, nikarudi hospital nikamwambia pale aliponielekeza pesa hakuna, akabaki kimya bila jibu.
Nikamuuliza tena kwa ukali pesa iko wapi, akasema nilisahau ipo kwenye hii simu yangu nikamwambia nionyeshe na nipe na PIN nikatoe nilipe bili na tax driver, nikaona mkono wake umekuwa mzito kunipa simu, mi nikachukua simu kwa hasira nikamwambia anitajie PIN akanitajia pini ile kucheki salio... Loh LOH. ALHAMUDULILLAH NESI ALIYEKUWA KARIBU YANGU ALISENSI NILICHOTAKA KUKIFANYA AKANISHIKA MKONO KWA NGUVU..
Kumbe mwenzio kashanunulia madela 😂😂😂 pole sana hio fedhea hapana
 
Hii kesi ni mwana kulitaka mwana kulipata. Eti pamoja na kipigo bado alijishusha kuogopa usingo maza,kwani kuwa singo maza kuna ubaya gani,ona sasa kapoteza huyo mume na mtoto,bora angeokoa mtoto kwa maamuzi ya haraka. Haikua na haja ya yeye kubembeleza penzi lililokufa.

Joyce kiria kila kukicha anatoa somo la kukimbia ukatili watu wanamuona mwehu anafundisha wenzie viburi kumbe anawaokoa na majanga yanayoepukika
Wadada tujielewe....penzi likifa kulifufua sio Jambo Dogo......Kuhusu usingomaza ukizaa bila ndoa umebet alitakiwa kuwa tayari kwa lolote
 
Pole sana aisee, ni ngumu sana ku deal na bandidu! Sometimes huwa mnayatakaga lakini kwa kutojielewa. Mtu anayekupenda unamlete maringo unaenda kwa mshenzi huambiwi husikii
😂😂😂Kesi yangu ni tofauti Sana na ulivyoandika hapa,
 
Kuna wanawake wana midomo michafu asee kama kinyesi acheni tu. Kuna dada hapa jirani huwa inafika wakati anamkaba hadi mumewe na matusi juu na ukiangalia alivyokonda siku akipigwa hata kibao kimoja cha uhakika sidhani kama ataamka
Wanawake wanaoongoza kwa kupigwa ni wenye midomo michafu na walioolewa na vichaa
 
Kuna mmoja alimwambia mwenzake kwa lisura hilo unadhani ningekubali unipachike mimba? Hii kapachika mwenye sura yake mjini. Kilichofuata sasa! In short vipigo vingine wajinunulia tena kwa bei ghali
Duuhh.... inawezekana mwanamke ukamtamkia hvyo mmeo?Mungu nisaidie nisifike hukooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hali ilivyo Sasa ya kizazi chetu ni mbaya Sana, wanawake na wanaume wamekua wahanga wa manyanyaso kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi.

Kiukweli Sasa hivi ukatili wa kijinsia umeongezeka mnoo,Ila cha kushangaza unawezaje kumpiga mkeo au mpenzi wako mwenye mimba ,[emoji26][emoji26][emoji26]bila huruma ?kipigo cha mbwa mwizi?hivi mmerogwa?stress za tozo,ugumu wa maisha au ndo kutaka mtoto afe?

Honestly ktk maisha yangu toka kuzaliwa sijawahi shuhudia vipigo kutoka kwa baba akimpiga mama.
Sasa hivi naona ndo staili ya maisha kupigana ,uhai wenyewe mfupi bado unampiga mtu na mimba?huzuni sana ... inasikitisha

Nimesikitshwa na habari ya huyu dada kwa kweli amepigwa na mmewe na mimba ya miezi nane, mpk amejifungua mtoto bahati mbaya(amefariki)yote nadhani chanzo ni vipigo vya kikatili

Nimegundua watu wengi wanaishia kwenye mateso ya ndoa kuogopa kuwa single..!daahhh huzuni sana aseehhh
Huyu dada ni msanii wa jua Kali,Sasa Kama hao watu maarufu wananyanyasika hvyo huku kungine Hali ikoje?
Unapiga mtu mwenye mimba?ujue sijawahi kushuhudia huwa naskia juu juu tu kumbe haya Mambo yapoo?

Wanaume pungunzeni ukatili,tumeambiwa pepo ziko chini yenu lakini sio kwa kumpiga mtu mpk kushonwa !mtupende mkishindwa turudisheni kwa wazazi wetu kwa usalama na amani kabisaa!!haha kupigana na mimba

hapana kabisaView attachment 2331362View attachment 2331364View attachment 2331365View attachment 2331366View attachment 2331367View attachment 2331368

Kwa kweli mbali ya kutisha ni tendo la hatari sana! Huyu akili yake itakuwa haipo sawa na anatakiwa asukumwe kwenye vyombo vya sheria! Asiachwe hivi hivi huyo, ni muuaji!
 
Back
Top Bottom