Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Aisee hizo drama ningeaga mashindano mapema sana, nadhani naelewana na mwanamke mkomavu zaidi thus why akileta utoto namtiaga makofi. Drama its a big no, tuongee tufurahie ila getting crazy i cant deal with nagging and shiet
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nna mimba Sasa unipigie Nini!!!kumbe mnajuana wenyewe mabondia dot com!!
Mimi nakuaga Kisirani tu nikikifungua hutaamini Kama ni Mimi vile!!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Heheee! Umenifurahisha sana swahiba wangu!
[emoji6][emoji2960][emoji16][emoji26][emoji16][emoji38][emoji38]kweli tena!!!yaani Mimi sijui ndo utoto etii!!!ngoja nikizaa Tena nione Kama Hali itaendelea!!!nilikua narudi nyumbani tuu!!ili kuepusha kelele ndani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji6][emoji2960][emoji16][emoji26][emoji16][emoji38][emoji38]kweli tena!!!yaani Mimi sijui ndo utoto etii!!!ngoja nikizaa Tena nione Kama Hali itaendelea!!!nilikua narudi nyumbani tuu!!ili kuepusha kelele ndani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji6][emoji2960][emoji16][emoji26][emoji16][emoji38][emoji38]kweli tena!!!yaani Mimi sijui ndo utoto etii!!!ngoja nikizaa Tena nione Kama Hali itaendelea!!!nilikua narudi nyumbani tuu!!ili kuepusha kelele ndani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Mwingine leo huyu hapa:

“Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, yaani tukichinja kuku, vipaja na vidari vyote anapelekewa mchungaji, alafu mimi ninayetafuta pesa kwa shida napewa vipapatio."

“Hii tabia imeota mizizi kiasi kwamba nahisi anatoka naye kimapenzi, kwanza mchungaji mwenyewe hana mke. Hivi hata ungekuwa wewe usingehisi vibaya?”

- Joseph Moses mkazi wa Mbeya anayedaiwa kutisha kumuua mkewe
 
Kwa muandiko huo aibu mtaona nyinyi tu[emoji23]!!!
Mwanamke akizama penzini ni zaidi ya zezeta, mtamaliza maneno ya kumshauri ila ndio kwanza atabeba mimba nyengine...

Kuna sehemu kadem kanasema jamaa aliondoka akarudi asubuhi japo anashukuru mwamba kurudi asubuhi, eti atakua muongo kama akisema mwamba hajamsaidia lolote kibinadamu hapo ndio ujue mwamba atarudi sound mbili kadem hakana ujanja
 
Hali ilivyo Sasa ya kizazi chetu ni mbaya Sana, wanawake na wanaume wamekua wahanga wa manyanyaso kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi.

Kiukweli Sasa hivi ukatili wa kijinsia umeongezeka mnoo,Ila cha kushangaza unawezaje kumpiga mkeo au mpenzi wako mwenye mimba ,[emoji26][emoji26][emoji26]bila huruma ?kipigo cha mbwa mwizi?hivi mmerogwa?stress za tozo,ugumu wa maisha au ndo kutaka mtoto afe?

Honestly ktk maisha yangu toka kuzaliwa sijawahi shuhudia vipigo kutoka kwa baba akimpiga mama.
Sasa hivi naona ndo staili ya maisha kupigana ,uhai wenyewe mfupi bado unampiga mtu na mimba?huzuni sana ... inasikitisha

Nimesikitshwa na habari ya huyu dada kwa kweli amepigwa na mmewe na mimba ya miezi nane, mpk amejifungua mtoto bahati mbaya(amefariki)yote nadhani chanzo ni vipigo vya kikatili

Nimegundua watu wengi wanaishia kwenye mateso ya ndoa kuogopa kuwa single..!daahhh huzuni sana aseehhh
Huyu dada ni msanii wa jua Kali,Sasa Kama hao watu maarufu wananyanyasika hvyo huku kungine Hali ikoje?
Unapiga mtu mwenye mimba?ujue sijawahi kushuhudia huwa naskia juu juu tu kumbe haya Mambo yapoo?

Wanaume pungunzeni ukatili,tumeambiwa pepo ziko chini yenu lakini sio kwa kumpiga mtu mpk kushonwa !mtupende mkishindwa turudisheni kwa wazazi wetu kwa usalama na amani kabisaa!!haha kupigana na mimba

hapana kabisaView attachment 2331362View attachment 2331364View attachment 2331365View attachment 2331366View attachment 2331367View attachment 2331368

Na wengine leo huko Nyanda za Juu Kusini mtanange mbele ya sheria ulikuwa hivi:

“Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, yaani tukichinja kuku, vipaja na vidari vyote anapelekewa mchungaji, alafu mimi ninayetafuta pesa kwa shida napewa vipapatio."

“Hii tabia imeota mizizi kiasi kwamba nahisi anatoka naye kimapenzi, kwanza mchungaji mwenyewe hana mke. Hivi hata ungekuwa wewe usingehisi vibaya?”

- Joseph Moses mkazi wa Mbeya anayedaiwa kutisha kumuua mkewe
 
Wengi ni wakatili. Na ubaya unaonekana kuliko uzuri.
Ni vizuri kumjua mwenza wako vizuri kabla haujaingia kwenye mahusiano, hii itakupelekea kuwa na chaguo sahihi.
 
Unaweza usimjue mwenza wako kipindi cha uchumba. Kuna tabia zinaanza kuonekana mkiishi pamoja.
Pia watu hubadilika kutokana na sababu mbali mbali
 
Ona kama yule mwanamke wa mbeya anapika anampelekea chakula mchungaji kwenye hotpot tena mchungaji anapelekewa mapaja, vidali mtafutaji anaachiwa miguu ya kuku na vibawa yule akipigwa kuna lawama kweli
 
Na wengine leo huko Nyanda za Juu Kusini mtanange mbele ya sheria ulikuwa hivi:

“Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, yaani tukichinja kuku, vipaja na vidari vyote anapelekewa mchungaji, alafu mimi ninayetafuta pesa kwa shida napewa vipapatio."

“Hii tabia imeota mizizi kiasi kwamba nahisi anatoka naye kimapenzi, kwanza mchungaji mwenyewe hana mke. Hivi hata ungekuwa wewe usingehisi vibaya?”

- Joseph Moses mkazi wa Mbeya anayedaiwa kutisha kumuua mkewe
MKE hastahili kujiweka wazi au karibu Sana na mwanaume yoyote ata mume pia haipendezi kuwa karibu Sana na MTU WA jinsia tofauti.

Binafsi kwenda Kwa mchungaji nafahamu MKE na mume wanakubaliana Kwa pamoja wanatenga siku wanaenda Kwa pamoja kumuona mchungaji.

Sasa Wewe mwanamke kila siku peke yako unabeba vitu ndani unapeleka Kwa mchungaji tena hajaoa bado !!!! Hii haijakaa Sawa mwanamke kuna kitu anaficha ....
 
Niliwahi kumuokoa Binti mmoja kutoka kwa Mwanaume Mnyanyasaji, huyo Binti nilimuajiri kwenye biashara yangu, alikua na Mtoto wa miaka miwili, Mwanaume wake alikua mwenye wivu uliopitiliza akaanza kumfanyia fujo hadi kwenye biashara nikamwambia "hua sichezewi kwenye eneo langu la kujipatia rizki nitakufunga" akaacha kumsumbua kazini,

Siku moja Binti akaja nyumbani kwangu asubuhi na mapema kavimba jicho na mwilini analia maumivu, anadai mwanaume kampiga kwa kuhisi anatembea na jirani yao,

Nikambeba hadi kituo cha polisi akafungua mashtaka, tukapewa na polisi wawili wakaenda kumkamata, kesi ikaunguruma huko sikufatilia lakini baadae alitoka kwa ahadi ya kutorudia tena na ukawa mwisho wao wa mahusiano, Binti akarudi kwao Mkoani, huyo Mwanaume ananichukia hadi kesho, anadai nimemtoroshea Punch Bag yake.

Sina uvumilivu nikiona Mtu ananyanyaswa, hakuna Mtu amezaliwa anyanyasike kwenye hii Dunia,
Wahanga wakubwa ni Watoto na Wanawake, Tulindane.
 
Hali ilivyo Sasa ya kizazi chetu ni mbaya Sana, wanawake na wanaume wamekua wahanga wa manyanyaso kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi.

Kiukweli Sasa hivi ukatili wa kijinsia umeongezeka mnoo,Ila cha kushangaza unawezaje kumpiga mkeo au mpenzi wako mwenye mimba ,[emoji26][emoji26][emoji26]bila huruma ?kipigo cha mbwa mwizi?hivi mmerogwa?stress za tozo,ugumu wa maisha au ndo kutaka mtoto afe?

Honestly ktk maisha yangu toka kuzaliwa sijawahi shuhudia vipigo kutoka kwa baba akimpiga mama.
Sasa hivi naona ndo staili ya maisha kupigana ,uhai wenyewe mfupi bado unampiga mtu na mimba?huzuni sana ... inasikitisha

Nimesikitshwa na habari ya huyu dada kwa kweli amepigwa na mmewe na mimba ya miezi nane, mpk amejifungua mtoto bahati mbaya(amefariki)yote nadhani chanzo ni vipigo vya kikatili

Nimegundua watu wengi wanaishia kwenye mateso ya ndoa kuogopa kuwa single..!daahhh huzuni sana aseehhh
Huyu dada ni msanii wa jua Kali,Sasa Kama hao watu maarufu wananyanyasika hvyo huku kungine Hali ikoje?
Unapiga mtu mwenye mimba?ujue sijawahi kushuhudia huwa naskia juu juu tu kumbe haya Mambo yapoo?

Wanaume pungunzeni ukatili,tumeambiwa pepo ziko chini yenu lakini sio kwa kumpiga mtu mpk kushonwa !mtupende mkishindwa turudisheni kwa wazazi wetu kwa usalama na amani kabisaa!!haha kupigana na mimba

hapana kabisaView attachment 2331362View attachment 2331364View attachment 2331365View attachment 2331366View attachment 2331367View attachment 2331368
ITS so sad
 
Watu wakishindwana waachane tu kwa wema.
Huyo jamaa yeye akikosea nani anampiga?
Halafu wanawake mnalea hii Hali ninyi kama huyo dada anasema alirudi kwa jamaa pamoja na mateso yote hayo ili asiwe single mama hiyo ni akili kweli?
 
Unaweza usimjue mwenza wako kipindi cha uchumba. Kuna tabia zinaanza kuonekana mkiishi pamoja.
Pia watu hubadilika kutokana na sababu mbali mbali
Ni kweli na hapo ndipo shida inapoanzia,hasa pale mwanaume anapokosa msimamo anawasikiliza ndg zake(mama, dadas) badala ya mke wake. Mara nyingi hii ndio huwa sababu kuu ya kuvuruga amani kwenye ndoa/mahusiano.
 
Uvumilivu uliponishinda nilitoka, niko poa maisha yanaenda,, na vilikuwa vipigo haswa, vya kunyofoa nywele na kucha,, chuki niliyokuwa nayo kwake ni kubwa mno muda unaponya niko ok,
Bila kusahau mwanzoni mlipendana kama vindege.
 
Back
Top Bottom