Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Mnapendaga kudandia mambo,, na hata haikuwa hivyo, Nini kilitokea sikwambii sababu una kiherehere Sana, story za mahusiano hazifanani mwanzo mwisho
Usijali hata mpendwa, sijaandika kwa ubaya, hilo ni dokezo tu kwamba kuna nyakati nzuri na nyakati mbaya ni sehemu ya maisha pia, niwie radhi kama comment yangu imekukwaza madam.
 
Huyu tatizo sidhani hata kama ni mdomo ila nachoona ni kuwa amependa ambako hahitajiki, yanu analizimisha kuwepo mahali ambako haitajiki, i can just imagine vile kademu flani sikaelewi ila hakakauki na fantasies😁😁😁! Men can be furious for such reasons. Unakuta demu kajiubebesha na mimba kabisa wakati huna mahesabu nae kabisa
Ni kweli bablai unaeza kuwa na manzi unataka chap ilale yeye akajitangazia ndoa kabisa.
 
Ila mambo ya kupigana jamani hapana kwakeli, mapenzi sio vita ukiona mtoto wa mtu humuwezi basi achana nae. Na sisi wanawake upofu wa mapenzi usitufumbe kwa kusema atabadilika kisa wampenda na unaona kabisa anachofanya sio sahihi!
 
Sad indeed. Ukiona red flags kimbia haraka tatizo wengi wanavumilia wakidhani jamaa litabadilika. Dada zangu ukiona red flags kimbia upesi bora urudi kwenu ukiwa hai kuliko kwenye jeneza.
Very true... tunaonaga red flags lakini ndio hivyo eti kuvumilia na kupenda! Kuna mda inabidi utumie akili zaidi kuliko moyo jamani[emoji17]
 
Nipeni mie mamlaka, mduwanzi kama huyu ni wakukatwa mjegejo na pumbu kabisa, tena jegege likatwe kwenye shina kabisa hata kukojoa akojolee mipira.

Sikatai mwanamke anaweza kukukera ukampiga kibao, lakini hapo ni mpaka awe amevuka mipaka kaabisa, kwenye mahusiano nishawahi mkata mtu makofi, ila alikuwa kapitiliza, sikuwa na budi.

Huyu kenge anapigaje mjamzito, mie mke wangu mjamzito hata kumpelekea moto ule show show za kulegeza nati za kitanda sipigi, namuonea huruma kinoooma,
Kwa jinsi ilivyo mwanamke si mtata, huyu ni wa kufutwa mpaka uraia, apelekwe hata Ukraine akapigane vita. 😠😡
 
Mwingine leo huyu hapa:

“Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, yaani tukichinja kuku, vipaja na vidari vyote anapelekewa mchungaji, alafu mimi ninayetafuta pesa kwa shida napewa vipapatio."

“Hii tabia imeota mizizi kiasi kwamba nahisi anatoka naye kimapenzi, kwanza mchungaji mwenyewe hana mke. Hivi hata ungekuwa wewe usingehisi vibaya?”

- Joseph Moses mkazi wa Mbeya anayedaiwa kutisha kumuua mkewe
Mwanamke huyu ni mpuuzi Tena mjinga anapaswa kuachika ili Mchungaji amuoe
Tunaambiwa tuwatii waume zetu, Mchungaji hana athari yoyote kwenye ndoa ya mtu, mwanamke mjinga anavunja ndoa mwenyewe kwa mikono yake,hakuna sheikh wala Mchungaji mwenye mamlaka na ndoa ya mtu, viongozi wa dini wao ni washauri tu ktk ndoa baasi!
My dear girl child ndoa ni ibada takatifu isiyopaswa kunajisiwa na mtu yoyote siku hizi ndoa tunachukulia fasheni Sana
Mwanamme ni kiongozi wa mwanamke,Hilo tulitambue,Ila sio kupigana kwa kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza usimjue mwenza wako kipindi cha uchumba. Kuna tabia zinaanza kuonekana mkiishi pamoja.
Pia watu hubadilika kutokana na sababu mbali mbali
Sahihi kabisa watu wanabadilika na Kuna pretenders jamani ktk hii ardhi mpk baasi,yaani mkiwa mbali utasema malaika mkiishi mpe wikiend 4 tu ,unaanza ona rangi zake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hali ilivyo Sasa ya kizazi chetu ni mbaya Sana, wanawake na wanaume wamekua wahanga wa manyanyaso kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi.

Kiukweli Sasa hivi ukatili wa kijinsia umeongezeka mnoo,Ila cha kushangaza unawezaje kumpiga mkeo au mpenzi wako mwenye mimba ,[emoji26][emoji26][emoji26]bila huruma ?kipigo cha mbwa mwizi?hivi mmerogwa?stress za tozo,ugumu wa maisha au ndo kutaka mtoto afe?

Honestly ktk maisha yangu toka kuzaliwa sijawahi shuhudia vipigo kutoka kwa baba akimpiga mama.
Sasa hivi naona ndo staili ya maisha kupigana ,uhai wenyewe mfupi bado unampiga mtu na mimba?huzuni sana ... inasikitisha

Nimesikitshwa na habari ya huyu dada kwa kweli amepigwa na mmewe na mimba ya miezi nane, mpk amejifungua mtoto bahati mbaya(amefariki)yote nadhani chanzo ni vipigo vya kikatili

Nimegundua watu wengi wanaishia kwenye mateso ya ndoa kuogopa kuwa single..!daahhh huzuni sana aseehhh
Huyu dada ni msanii wa jua Kali,Sasa Kama hao watu maarufu wananyanyasika hvyo huku kungine Hali ikoje?
Unapiga mtu mwenye mimba?ujue sijawahi kushuhudia huwa naskia juu juu tu kumbe haya Mambo yapoo?

Wanaume pungunzeni ukatili,tumeambiwa pepo ziko chini yenu lakini sio kwa kumpiga mtu mpk kushonwa !mtupende mkishindwa turudisheni kwa wazazi wetu kwa usalama na amani kabisaa!!haha kupigana na mimba

hapana kabisaView attachment 2331362View attachment 2331364View attachment 2331365View attachment 2331366View attachment 2331367View attachment 2331368
Kama una access naye pls mwambje kuwa hiyo miguu aliyoumbwa nayo siyo pambo. Aitumie kuondokana na hizo swaga za kupigwa.

Akioenda aendelee kuvumilia hafi sekunde ya mwisho
 
Ona kama yule mwanamke wa mbeya anapika anampelekea chakula mchungaji kwenye hotpot tena mchungaji anapelekewa mapaja, vidali mtafutaji anaachiwa miguu ya kuku na vibawa yule akipigwa kuna lawama kweli
Ita wazazi wake,Mchungaji na watu wazima mkabidhi kwa Mchungaji amuoe yeye baaasi kazi imeisha kupigana huku mtauana bureee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mimi nikiri binafsi nishawahi kumnyuka wife ila alikuwa na mimba ya 3 months.

ila nilimpiga vibao kadhaa mana ubishi ulizidi, ila na yeye alijitakia unawezaje kufunga mlango wa sebuleni na kuficha ufunguo kisa nisitoke kunywa.

nilipiga ila najutia na msamaha niliomba
 
Niliwahi kumuokoa Binti mmoja kutoka kwa Mwanaume Mnyanyasaji, huyo Binti nilimuajiri kwenye biashara yangu, alikua na Mtoto wa miaka miwili, Mwanaume wake alikua mwenye wivu uliopitiliza akaanza kumfanyia fujo hadi kwenye biashara nikamwambia "hua sichezewi kwenye eneo langu la kujipatia rizki nitakufunga" akaacha kumsumbua kazini,

Siku moja Binti akaja nyumbani kwangu asubuhi na mapema kavimba jicho na mwilini analia maumivu, anadai mwanaume kampiga kwa kuhisi anatembea na jirani yao,

Nikambeba hadi kituo cha polisi akafungua mashtaka, tukapewa na polisi wawili wakaenda kumkamata, kesi ikaunguruma huko sikufatilia lakini baadae alitoka kwa ahadi ya kutorudia tena na ukawa mwisho wao wa mahusiano, Binti akarudi kwao Mkoani, huyo Mwanaume ananichukia hadi kesho, anadai nimemtoroshea Punch Bag yake.

Sina uvumilivu nikiona Mtu ananyanyaswa, hakuna Mtu amezaliwa anyanyasike kwenye hii Dunia,
Wahanga wakubwa ni Watoto na Wanawake, Tulindane.
Nachukia vipigo,nachukia unyanyasaji sijui inakuaje mpk mtu anampiga kikatili mwenza wake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
acheni kuwa ving'ang'anizi ndo maana mnauliwa,sasa tangu umeanza kuvumilia vipigo umefaidika nini zaidi ya kumpoteza mtoto?
hivi ndo inaitwaga kupenda ama nini?
kingine,wanawake acheni kujibebesha mimba,mimba haitamfanya mwanaume akupende,sio kila mwanamme anaye date na wewe anataka kukuoa wengine ni starehe tu na ndo hulka ya mwanaume,mwanamme hataki kuzaa na wewe ila unalazimishia hamna rangi utaacha kuiona.
 
Very true... tunaonaga red flags lakini ndio hivyo eti kuvumilia na kupenda! Kuna mda inabidi utumie akili zaidi kuliko moyo jamani[emoji17]
Niliacha mtu[emoji38][emoji38]kisa tu alinambia ukinizingua nakudundaaa kwelii[emoji6][emoji16][emoji16][emoji6][emoji57]weee nkawaza,nikasema hapa hapanifai ntakufa hamuaminiki na haamini mpk kesho nilimpa live tu nkamuambia we mpigaji staki miyee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mwanamke kamwe usikubali kupigwa haaa ukiwa na mimba madhara yake ni makubwa mno,
vipigo vina asilimia kubwa ya kumwathiri mtoti
 
Nipeni mie mamlaka, mduwanzi kama huyu ni wakukatwa mjegejo na pumbu kabisa, tena jegege likatwe kwenye shina kabisa hata kukojoa akojolee mipira.

Sikatai mwanamke anaweza kukukera ukampiga kibao, lakini hapo ni mpaka awe amevuka mipaka kaabisa, kwenye mahusiano nishawahi mkata mtu makofi, ila alikuwa kapitiliza, sikuwa na budi.

Huyu kenge anapigaje mjamzito, mie mke wangu mjamzito hata kumpelekea moto ule show show za kulegeza nati za kitanda sipigi, namuonea huruma kinoooma,
Kwa jinsi ilivyo mwanamke si mtata, huyu ni wa kufutwa mpaka uraia, apelekwe hata Ukraine akapigane vita. 😠😡
Hii nchi utamaliza wengi kwa kuwa hawanaga hofu ya mungu watu wanatelekeza mpaka walemavu
 
Nipeni mie mamlaka, mduwanzi kama huyu ni wakukatwa mjegejo na pumbu kabisa, tena jegege likatwe kwenye shina kabisa hata kukojoa akojolee mipira.

Sikatai mwanamke anaweza kukukera ukampiga kibao, lakini hapo ni mpaka awe amevuka mipaka kaabisa, kwenye mahusiano nishawahi mkata mtu makofi, ila alikuwa kapitiliza, sikuwa na budi.

Huyu kenge anapigaje mjamzito, mie mke wangu mjamzito hata kumpelekea moto ule show show za kulegeza nati za kitanda sipigi, namuonea huruma kinoooma,
Kwa jinsi ilivyo mwanamke si mtata, huyu ni wa kufutwa mpaka uraia, apelekwe hata Ukraine akapigane vita. [emoji34][emoji35]
Kaka...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umepata Moto Sana!ni huzuni mnnooo anapiga mwenye mimbaa!!hii kitu ni mbaya sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kaka...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umepata Moto Sana!ni huzuni mnnooo anapiga mwenye mimbaa!!hii kitu ni mbaya sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kenge kama hawa ni kuwakata dhakari tu.

Yani mie wifi yako, tukilala pamoja hata ule mkono kuuweka kwenye kitumbo nahisi kama namuumiza.. Ujanja, ujeuri wangu si kwa mwanamke mjamzito, nimeligundua hivi karibuni
 
Back
Top Bottom