Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,759
- 39,406
Naunga mkono hojaMuwapimage akili kabla hamjaolewa nao, wengine ni wehu halafu hawajui.
Naunga mkono hojaMuwapimage akili kabla hamjaolewa nao, wengine ni wehu halafu hawajui.
Mateso aliyokutana nayo huyu mwanamke ni makubwa mno, haijalishi makosa yake ila hakustahili kufanyiwa haya. Ndio shida ya mtu akikosa huruma na hofu ya Mungu ndani yake.Hali ilivyo Sasa ya kizazi chetu ni mbaya Sana, wanawake na wanaume wamekua wahanga wa manyanyaso kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi.
Suala sio kuishi na mke the issue is kupiga mama mwenye mimba mpk anashonwa? Inakuaje yaani?hapo ndo shida ilipo
Uvumilivu uliponishinda nilitoka, niko poa maisha yanaenda,, na vilikuwa vipigo haswa, vya kunyofoa nywele na kucha,, chuki niliyokuwa nayo kwake ni kubwa mno muda unaponya niko ok,Asehh pole Sana my dear!haya Mambo jamani yanaumiza Sanaa
Yaani anakupiga ukiwa na kiumbe wake tumboni?hata Kama hasira ndo za aina hyooo ?!!!
Pole Sana!no Bora kuachana kuliko mateso
Wanaogopa kuonekana hawaoleki na aibu ya kuachikaSad indeed. Ukiona red flags kimbia haraka tatizo wengi wanavumilia wakidhani jamaa litabadilika. Dada zangu ukiona red flags kimbia upesi bora urudi kwenu ukiwa hai kuliko kwenye jeneza.
Kwa kweli kupimana akili muhimu kabisaa!!!mtu anakupiga mpk unashonwa afu bado uko hapo hapo...big noooMuwapimage akili kabla hamjaolewa nao, wengine ni wehu halafu hawajui.
Mungu ajaalie nisifikie huko aseeehhhKuna ile situation mpo ndani mnapishana kauli kidogo na ukute nyuma kidogo mlikuwa na mgogoro wa kimapenzi then mwanamke anaropoka “Hata hii mimba siyo yako,wakuweka mimba utakuwa wewe??”, ktk hali kama hii unategemea nini!!!
Ni mambo yapo kwenye jamii na miaka yote yamekuwepo ukipatana na mwenye roho nzuri shukuru dunia mchanganyiko wapo wenye roho mbaya wapo wenye roho nzuri.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tozo km tozooMwe hasira za Tozo anamalizia kwa mke[emoji22]
Msimamo Wangu ni kwamba popote pale nikimkuta mwanamke analia Sitamuonea huruma hadi pale nitakapojua story ya upande wa pili.Nonsense. Wewe ndo wakwanza kuishi na mke? Ukimpiga unapata faida gani? Kwanini msiachane? Mtu kama wewe tayari you're prepositioned kufanya ukatili wa namna hii.
Yaani Tena mjamzito kabisaa!Mungu atupe macho ya rohoni aseehhh...nimeshangaa mnoooNonsense. Wewe ndo wakwanza kuishi na mke? Ukimpiga unapata faida gani? Kwanini msiachane? Mtu kama wewe tayari you're prepositioned kufanya ukatili wa namna hii.
Exactly...Hakuna hofu ya Mungu ,mbaya zaidi mtoto amekufa ...huyu dada anahitaji kanselingi ya Hali ya juu!!!amepata shida sanaaMateso aliyokutana nayo huyu mwanamke ni makubwa mno, haijalishi makosa yake ila hakustahili kufanyiwa haya. Ndio shida ya mtu akikosa huruma na hofu ya Mungu ndani yake.
Sijasapoti kupigwa huyo mama ila ninapinga huyo mama kuonewa huruma kabla ya Kujua upande wa pili wa story[mpigaji]¬
Hapo Sasa sijui inakuaje unapiga mwanamke mpk anashonwa...!!!hapana this is too muchKupiga mwanamke yeyote ni uboya let alone mwenye mimba.
Asehehh!pole Sana my dear...mpk anakutoa kucha !Lazima umchukie maisha yote,pole Sana my dear!Uvumilivu uliponishinda nilitoka, niko poa maisha yanaenda,, na vilikuwa vipigo haswa, vya kunyofoa nywele na kucha,, chuki niliyokuwa nayo kwake ni kubwa mno muda unaponya niko ok,