Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

Kenge kama hawa ni kuwakata dhakari tu.

Yani mie wifi yako, tukilala pamoja hata ule mkono kuuweka kwenye kitumbo nahisi kama namuumiza.. Ujanja, ujeuri wangu si kwa mwanamke mjamzito, nimeligundua hivi karibuni
Kwanza mwanamke mjamzito anakua considered as maiti hai,yaani anything can happen mda wowote,Yaani hata psychological anahitaj special attention mnoo!baasi tu!hata kumkemea tunafosi tu,Ila Sasa watu wanachukulia kawaida a Hali ya mama mjamzito ndo inapelekea mtoto atakaezaliwa aweje,watu hawajui tu
Mwanamme anaepiga mwanamke mjamzito ni mkatili mnoo Tena ni mnyama

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sijabisha ishu kupigwa na mimba!brooh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kamwe usimjaribu mwanaume, maana tabia zao hazifanani kama wanawake. Jamaa kwaujumla amekosea sana, na hilo ni kosa kwa Mungu maana ameua mtoto. Ila hormonal imbalances hazikufanyi kufanya stupid subconscious actions maana still bado unalofanya ni makosa. Kipindi cha mimba na period mnatabia mnazifanya zakukera ambazo hata wewe ungefanyiwa ungekuwa na nguvu ungeweza kumpiga huyo mtu na kumuumiza anayeyatenda. Wanaume wajifunze kuondoka kama kero za mwanamke zikizidi ili kutonyanyua mkono na mwanamke achunge kisirani na mdomo maana mtu anaweza vumilia akachoka, kila mtu ni binadamu hivyo mwanaume naye anamoyo wakuugulia machungu. Kamwe usimjaribu mwanaume, hatutabiriki kama nyie.
 
Huingii Ukatili uliopitilizaaa huyo mwanaume sio mzima anampigaje mkewe kiasi hiko?? Mbaya zaidi mke ni mjamzito??
Inasikitisha na kutia huruma sana imagine umebemba mimba miezi yote hio???!!!!
So sad!
 
Niliacha mtu[emoji38][emoji38]kisa tu alinambia ukinizingua nakudundaaa kwelii[emoji6][emoji16][emoji16][emoji6][emoji57]weee nkawaza,nikasema hapa hapanifai ntakufa hamuaminiki na haamini mpk kesho nilimpa live tu nkamuambia we mpigaji staki miyee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Halafu wakushapiga hao wanawake ndio wanakua wamesovu tatizo!!
Wana Upungufu wa akili sio bure!!
Huruma sana !
 
Kwenye mdomo hapo wanawake tujifunze,shida mimba Zina visirani Sana ujue brooh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimba hazina visirani bali inakuletea imbalances za homoni ndani ya mwili wako. Hupelekea kuleta mood changes ila pamoja na yote hayo, yote utakayoyafanya bado lipo kwenye control yako maana haulifanyi subconsciously yaani pasipo fahamu. Ndio maana mwanaume anashikwa na tamaa ya kila mwanamke mzuri atakayepita mbele yake hasa akianza balehe kutokana na mahomoni kufumuka umo ndani, ila akifanya jambo lolote lile la kipumbavu ikiwemo kupachika mimba basi ujue lawama zote atapewa yeye maana yote bado yapo ndani ya ufahamu wake. Unajua mwanaume aliyebalehe kutokana na zile tamaa alizonazo anaweza hata kubaka, jiulize kwanini hawafanyi usipokuwa mateja na wahuni uko.
 
yaani hapo angekwenda polisi
Fasta angewekwa ndani.
Shida mna huruma Sana.
Nani anahuruma, [emoji23][emoji23][emoji23]mwanamke. Thubutu!!! Huyo amempenda ndio maana hajamfikisha uko ila sio huruma. Kamwe mwanamke, huruma si hulka yake ila sura yake pamoja na jukumu la mtoto kupitia tumboni mwao basi hujengewa heshima yakuwa wanahuruma. Ila mwanamke hanahuruma na wewe, nausije kuwaza hivi labda kama ni mama au dada yako.
 
Wengi ni wakatili. Na ubaya unaonekana kuliko uzuri.
Huonekana zaidi maana kwaujumla nyie mmejivika umalaika na kucheza kadi ya victims kwakila jambo. Pia mtatangaza kila kitu ili muonewe huruma. Kama mwanaume angefanya hivi, sasa nani angebeba lawama kwaajili ya dunia. Muulize daktari yeyote aliyefanya kazi muda mrefu hospitali akuelezee ukatili wanawake walionao. Ila ndio mama zetu.
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nna mimba Sasa unipigie Nini!!!kumbe mnajuana wenyewe mabondia dot com!!
Mimi nakuaga Kisirani tu nikikifungua hutaamini Kama ni Mimi vile!!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa tumia hiyohiyo thought process kufikiri na mwanaume naye, kwakuwa tamaa ikapanda mpaka testosterone kufika juu hivi akuambie nikifungulia michepuko na umalaya hutaamini. Acheni hizo tabia, zitamfanya mwanaume akuchukie, kama sileo basi kipindi cha uzeeni maana atajutia kwanini niliyavumilia haya.
 
Niliacha mtu[emoji38][emoji38]kisa tu alinambia ukinizingua nakudundaaa kwelii[emoji6][emoji16][emoji16][emoji6][emoji57]weee nkawaza,nikasema hapa hapanifai ntakufa hamuaminiki na haamini mpk kesho nilimpa live tu nkamuambia we mpigaji staki miyee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna mwanaume asiyofikiria hilo sema tu jamaa kawa muwazi. Kinachotofautiana ni wapi jamaa atachora mstari wawapi ni kipimo ambapo akifika atafanya hivyo pamoja na atafanya hicho kitendo kwakiwango gani.
 
Kwanza mwanamke mjamzito anakua considered as maiti hai,yaani anything can happen mda wowote,Yaani hata psychological anahitaj special attention mnoo!baasi tu!hata kumkemea tunafosi tu,Ila Sasa watu wanachukulia kawaida a Hali ya mama mjamzito ndo inapelekea mtoto atakaezaliwa aweje,watu hawajui tu
Mwanamme anaepiga mwanamke mjamzito ni mkatili mnoo Tena ni mnyama

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwili wakila jinsia umeumbwa kubeba endurance kwakila mabadiliko mwili utapitia. Wala sio maiti hai bali mabadiliko ya body physiology kutokana na vyakula tunavyokula pamoja na jamii inavyobadilika ndio maana kunakuja kuzuka mambo ya physiological effects na psychological effects respectively. Ndio maana wakina bibi walizaa watoto 10 kwenda juu na hawakupata shida hata uzeeni. Na kwaujumla hivi vitu vinabadilike kwajinsia ya kike kuliko kiume, kwakuwa a woman hawezi kusimamia msimamo wake. Bibi hata akikuelezea jinsi mwanamke anavyotakiwa kuishi upo tayari kumpinga kufuata social media lakini mwanaume akijaribu hivyo atadharauliwa sana. nb: mwanamke huitaji attention ila usijiendekeze maana kila kitu kiasi, maana maisha hayaishii kwenye mimba kuna vitu vingi sana tena hasa baada ya mimba kuisha. Ndio maana unaambiwa mlee mtoto wa kiume akomae kiakili usimdekeze maana mwanamke hubadilika haraka sana na pia hana msimamo, anaweza kumfanya mwanaume ajione punguani na hata kujinyonga kama huyo mwanaume hajakomaa.
 
Halafu wakushapiga hao wanawake ndio wanakua wamesovu tatizo!!
Wana Upungufu wa akili sio bure!!
Huruma sana !
Refelect hilo jibu lako halafu nikuulize, mwanamke akishatoa maneno ya visirani au hatakutukana kwa mwanaume, je huyo mwanaume hubadilika! Je wao pia wanaupungufu waakili??? Kila mtu ananjia zake zakudilinna uchungu pamoja na stress. Usimjudge mwenzako, maana sikila mwanaume hupiga na sikila mwanamke anamdomo mchafu. Acha dharau kwa jinsia nyingine bali kemea unaloliona sio sawa. Hakuna aliyebora simwanamke wala mwanaume.
 
Niliacha mtu[emoji38][emoji38]kisa tu alinambia ukinizingua nakudundaaa kwelii[emoji6][emoji16][emoji16][emoji6][emoji57]weee nkawaza,nikasema hapa hapanifai ntakufa hamuaminiki na haamini mpk kesho nilimpa live tu nkamuambia we mpigaji staki miyee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanasema bora nusu shari kuliko shari zima[emoji848] mambo ya kupigana sio mazuri hata kidogo.
 
Na ninyi wanawake kwanza mpunguze midomo hakuna kitu kinauma kama kutukanwa na mwanamke na akujibu kwa dharau, hapo mwenye makosa anaweza kuwa yoyote.
Na inakuwaje unakubali kupigwa mpaka kushonwa na bado unarudi kwa hilo boya lililokupiga?
Kabla ya fala yoyote hajakujaza tumbo hakikisha kama akili zake zipo sawa sababu sio kila kichaa anaokota makopo wengine wanaoga kabisa lakini ni aina tofauti ya vichaa.

Huyo mbwa ni psychopath muoga na mnyanyasaji tu kwa wanawake sababu ni dhaifu na hawawezi kujitetea kama kweli ni mbabe kwanini asije kupigana na wanaume wenzake huku?
Nitapiga vyote lakini siwezi kuja kupiga mwanamke mwenye ujauzito mpaka avuje damu tena awe na mwanangu tumboni, huo ni ukatili.
 
Nachukia vipigo,nachukia unyanyasaji sijui inakuaje mpk mtu anampiga kikatili mwenza wake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Malezi mabovu,
Mtu kama huyo amekua akishuhudia Baba ake anamdunda Mama ake au Mama ake anawadunda hata kwa kosa dogo, akienda Shule vipigo, mtaani anaona wenzie wakipigwa na kupiga,

Anakua akidhani Kupigana ndio suluhisho tena anaweza kua alijaribu kudundana na Mwanaume mwenzie akadundwaaa sasa kaamua kutafuta sehemu dhaifu ambayo ni Mwanamke,

Mwanaume apigaye Mwanamke ni Dhaifu, Mjinga, Mpumbavu mwenye Ulemavu wa Akili.
 
Kwanza mwanamke mjamzito anakua considered as maiti hai,yaani anything can happen mda wowote,Yaani hata psychological anahitaj special attention mnoo!baasi tu!hata kumkemea tunafosi tu,Ila Sasa watu wanachukulia kawaida a Hali ya mama mjamzito ndo inapelekea mtoto atakaezaliwa aweje,watu hawajui tu
Mwanamme anaepiga mwanamke mjamzito ni mkatili mnoo Tena ni mnyama

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inasikitisha kiukweli
 
Refelect hilo jibu lako halafu nikuulize, mwanamke akishatoa maneno ya visirani au hatakutukana kwa mwanaume, je huyo mwanaume hubadilika! Je wao pia wanaupungufu waakili??? Kila mtu ananjia zake zakudilinna uchungu pamoja na stress. Usimjudge mwenzako, maana sikila mwanaume hupiga na sikila mwanamke anamdomo mchafu. Acha dharau kwa jinsia nyingine bali kemea unaloliona sio sawa. Hakuna aliyebora simwanamke wala mwanaume.
Ukweli unabaki palepale mkuu kuwa kupiga mwanamke sio solution!
 
Huonekana zaidi maana kwaujumla nyie mmejivika umalaika na kucheza kadi ya victims kwakila jambo. Pia mtatangaza kila kitu ili muonewe huruma. Kama mwanaume angefanya hivi, sasa nani angebeba lawama kwaajili ya dunia. Muulize daktari yeyote aliyefanya kazi muda mrefu hospitali akuelezee ukatili wanawake walionao. Ila ndio mama zetu.
Haya
 
Back
Top Bottom