Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
kwani kuombwa samahan ndio kunyenyekewa?
Kwani what is kunyenyekewa?
kwani kuombwa samahan ndio kunyenyekewa?
I learned to say sincere sorry long time ago...but I also work hard to minimize the chances of wrong doings because of hating the ordeal of that interrogation of saying sorry. Mara nyingi debate zenu zinaogopesha maana huwa zina mwanzo ila hazina mwisho.niaminishe kwamba uko tofauti manake with this urgument................
mwenzie kivipi wakati wewe ni mpinzani?
jamani mbona hata nyie wababa huwa mnakuwa wagumu kukubalai msamaha? huwaga mnakuja na preposition chungu mbovu kila mara mnataka clarification yaani hadi mje mkubali na msamehe jasho linakuwa limetutoka?I learned to say sincere sorry long time ago...but I also work hard to minimize the chances of wrong doings because of hating the ordeal of that interrogation of saying sorry. Mara nyingi debate zenu zinaogopesha maana huwa zina mwanzo ila hazina mwisho.
so womn always ni wagomvi kwa mujibu wa vitabu hvyo?
kaka mito go into the first post soma nimeuliza je kuna mabaye kwa kufanya hivyo amewah kudharauliwa na mkewe? if yes tupeni ushuhuda manake mwisho wa siku tunataka tukomboke atii
Mimi mpinzani au mshika dau mwenzako? Tofautisha hayo mawili tafadhali...unajua bila mwanaume dunia hii inakuwaje halafu unasema sio wenzenu...nataka kulia miye kwa uchungu
Mimi mpinzani au mshika dau mwenzako? Tofautisha hayo mawili tafadhali...unajua bila mwanaume dunia hii inakuwaje halafu unasema sio wenzenu...nataka kulia miye kwa uchungu
wenzangu ni wanawake. Ninapo sema chama pinzani zio kwa maana mbayaMwali usiniangushe! hata mimi sio mwenzako? Sasa nani ni mwenzenu katika dunia hii?
kuomba msamaha = kukiri kosa = kuonesha udhaifu. wanaume hatutakiwi kuonesha udhaifu hivyo kumuomba msamaha mwanamke ni jambo gumu. pia wengi wanaamini ukifanya hivyo mwanamke atajisifu kwamba 'kakuweka mkononi', so no apology for you gfs
Oooh! Boi
kuomba msamaha = kukiri kosa = kuonesha udhaifu. wanaume hatutakiwi kuonesha udhaifu hivyo kumuomba msamaha mwanamke ni jambo gumu. pia wengi wanaamini ukifanya hivyo mwanamke atajisifu kwamba 'kakuweka mkononi', so no apology for you gfs
jamani mbona hata nyie wababa huwa mnakuwa wagumu kukubalai msamaha? huwaga mnakuja na preposition chungu mbovu kila mara mnataka clarification yaani hadi mje mkubali na msamehe jasho linakuwa limetutoka?
nitayainua macho yangu nitazame milima...
Labda nikuulize: wanawake wanapo kataa kukiri ni kwanini?hapo uenena manake mpaka hapa nakaribia post ya 60 hakuna aliyetoa sababu zaid ya kusema tunawaloga bora hata mito ameonyesha busara zaid ya wote.
wenzangu ni wanawake. Ninapo sema chama pinzani zio kwa maana mbaya
it means that you love the game as much as we do, and we all want to win
I learned to say sincere sorry long time ago...but I also work hard to minimize the chances of wrong doings because of hating the ordeal of that interrogation of saying sorry. Mara nyingi debate zenu zinaogopesha maana huwa zina mwanzo ila hazina mwisho.